Mkuu unazungumzia hii kwa experience iliyokutokea?!Dar. bao moja tu hoiiii!
Mkuu Mshana jr,Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
ni planetHivi le mutuz nae ni star kumbe!?
Hiyo ni coment ya aina ya ushamba ulionao, wapi panauzwa nguo za wasanii pekeake au nguo za wasanii zikoje. Tatizo unaona kwenye TV tu ukija Dar utashangaa sana aina ya mavazi na mivao mbalimbali hii ndiyo karibu sana ujifunze mengi, kumbe mkija mnayoaona mnaandika kwenda kusimulia huko. Mkuu hebu weka picha ya tiketi, ulikuja na basi gani na kurudi basi gani.afu vijana weni wa huo dar wanaiga sana maisha ya wasanii, mfano siku hzi wengi wanavaa tupensi tufupi ya juu ya goti afu wanatukunja mara moja au mbili, (kastyle kanachekesha kwa kweli) afu unyoaji nywele zilizopo kwnye eneo la mbele ya skio wanazitoa ila kwngne kote zinabaki nyingi, yani woote
ni galaxyni planet
Umemaliza yote.wanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town 🙂🙂