Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

PANYA ROAD nasikia wanakimbiza na kufunga mtaa. Inakuaje na wanaume wa Dar wanakua wapi mda huo? Ha ha ha ha haaaa! Nasikia ndio maana Police huchukuliwa wanaume wa Dar, ila JWTZ wanachukuliwa Mikoani. Basi jamaa watakua na sababu za msingi zaidi.
Oya taratibu wee wa kuja!
 
Aiyaaaa naona mashambulizi yamekua makali sana dhidi ya Men Mkoa kwenda kwa Men Dar,

Ila ngoja tuone, muda bado unaruhusu, chochote chaweza kutokea.🙂
 
afu vijana weni wa huo dar wanaiga sana maisha ya wasanii, mfano siku hzi wengi wanavaa tupensi tufupi ya juu ya goti afu wanatukunja mara moja au mbili, (kastyle kanachekesha kwa kweli) afu unyoaji nywele zilizopo kwnye eneo la mbele ya skio wanazitoa ila kwngne kote zinabaki nyingi, yani woote
 
---------> Wanaume wa dar wakiona Mende tu wanajijambia ......... Hawa ni janga la Taifa.
Dar ndo kituo kikuu cha mamende, ndo maana mleta thread kamendewa then katika nduki....au
 
Dar ndo kituo kikuu cha mamende, ndo maana mleta thread kamendewa then katika nduki....au
Aiyaaaa naona mashambulizi yamekua makali sana dhidi ya Men Mkoa kwenda kwa Men Dar,

Ila ngoja tuone, muda bado unaruhusu, chochote chaweza kutokea.🙂
Kufanyana vibaya ni nyie huko ndo mwafanyana.
PANYA ROAD nasikia wanakimbiza na kufunga mtaa. Inakuaje na wanaume wa Dar wanakua wapi mda huo? Ha ha ha ha haaaa! Nasikia ndio maana Police huchukuliwa wanaume wa Dar, ila JWTZ wanachukuliwa Mikoani. Basi jamaa watakua na sababu za msingi zaidi.
Mkuu huyu mtu wa Shamba kuna kitu KAFANYWA na wanaume wa Dar si bule huyu
Jamani mbna inajulikana hata mikoani kunawatu wenye tabia hizo. Bila shaka huyu mleta mada kafanywa vbaya na vjana WA DAR
Hicho ndo kilichokukimbiza, yaelekea ulikuwa unapenda kuchunguzachunguza maisha ya watu wakaamua kukufungia kazi na kukuomba nyuma,

Na ole wako ungekuwa mnywa pombe ukapewa ofa ukaikubali, lazima ungetafunwa

Una bahati sana, siku nyingine uwe mwangalifu, usidhani kukunja ndita usoni ndo watu tutakuogopa, tunakufumua tu, sura inafunikwa na gazeti
Watu wa mapolini huwa nawashangaa sana wakija Dar wanahadisia jamaa zao wote na wakisharudi huwa tiketi hawatupi ili kumuonesha kila mpolipoli mwenzake kuwa alikuwa mjini.sasa nakushangaa wewe sijui UMEFANYWAJE hadi unalalamika.
hawa "wanaume" kweli noma, badala ya kujibu hoja kiume, wao pointi yao kuu ni "mtoa mada aliingiliwa na mwanaume wa dar"
maneno ya nyimbo za mduara yanawaathiri sana
ila ile ishu ya mji mzima kusimamishwa na vitoto vya chini ya miaka 12 viliaibisha taifa eti panya road....
 
Ima maana wanaume wa Dar wanaoa wanaume wenzao pia? Hii itabidi niionheze ktk list.
Kwani ktk post yako no11 ulimaanisha nn,ndyo kuolewa kwenyewe kule usiwashangae nawe inaonekana waweza kuwa hvyo sababu umeingia dar slum mwezi tu umejua tabia zote hzo,jiangalie mjini usiwe mdadisi sn fuata yko sepa kjana
 
Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine

Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.

Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.

Wanaume wa Dar woyee!
 
Dar's finest... wanaume wa Dar katika ubora wao, kila kijana anayekua sasa hivi Dar ana ndoto za kuja kuwa kama huyu

ommy dz.jpg

au huyu
msanii.JPG
 
Wazee wa tutabanana hapahapa mkoa haturudiiiiiiiii

vifusi.JPG
 
tofautisha! kuna wanaume wa dar! au ukipenda waite wanaume suruali na mashababi wa dar! nikiwa mmojawapo!
 
Back
Top Bottom