Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wananunua magari kwa kuiga wachache wenye uwezo na pia kudanganya watu ila wese linawapiga changa.
Baba ukiona mtu anatembelea gari mpe heshima yake, wanamuiga nani acha wivu gari inauzwa bei gani mpaka mtu aige kununua mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari kwanini usimpongeze, huko kwanu ni wangapi wanamiliki gari acha wivu.
 
Akikutana na wenzake aaahh nilikuwa Dar bwana ndio maana mlikuwa hamnioni anatoa tiketi za ma daladala na tiketi ya mabasi ya kwao wakija lazima waende baharini na ndio maana mleta uzi kataja posta alienda kuona bahari na uwanja wa Taifa sasa hivi yupo na simu yake ya kichina analeta zarau na shauri yako mchina wako inazimwa hiyo we leta jeuri tu.sisi hatuwezi kula miugari kwani tunalima sisi? Au kutembea umbali mrefu kwani sisi wachungaji?.yani sijui ulikuleta umbeya Dar?.umejuaje kuwa hatuwalizishi wake zetu au ulijaribu
Na ukipanda nao daladala utawajua tu, utasikia halo nitakupigia baadae nipo kwenye daladala nipo Dar. Ila kwa wakazi Wao husema nitakupigia baadae nipo kwenye gari kwisha.
 
Home boy unesahau kitu kidume cha mkoa kikiingia bongo wiki ya pili sikiliza lafudhi ya kuongea hapo ndo kituko anataka aongee kama mzaramu
We Jamaa umenchekesha sana sijui dar kuna jamani duh ila dar ndo Tanzania haijalishi watu wanasema nin
 
Baba ukiona mtu anatembelea gari mpe heshima yake, wanamuiga nani acha wivu gari inauzwa bei gani mpaka mtu aige kununua mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari kwanini usimpongeze, huko kwanu ni wangapi wanamiliki gari acha wivu.
Huku wana matrekta na maroli, ila nimekuelewa.
 
Sijawahi kuona mwanaume kutoka dar ameolewa ila nimeshawahi kuona mwanaume kutoka Arusha kaolewa na Mzungu..
Kule Rombo wanawake walienda kenya kutafuta haki ya no ndoa baada ya wanaume wa Rombo kushindwa kutoa hiyo haki, sasa sijui ni wapi ilitangazwa wanawake wa dar kwenda kutafuta unyumba nje ya dar...
hongera kwa kwenda tanzania kwa Mara ya kwanza..
 
Na ukipanda nao daladala utawajua tu, utasikia halo nitakupigia baadae nipo kwenye daladala nipo Dar. Ila kwa wakazi Wao husema nitakupigia baadae nipo kwenye gari kwisha.

Kweli kabisa mkuu halafu washamba sana na usiombe upande nae gari akuegemee wananuka kimbuzimbuzi sijui wanalala na wanyama wana harufu flani hivi ila wakija Dar wakioga wakawa km sisi wanakuwa safi halafu wakiwa kwao wanaleta mazereu kuna mmoja nilikuwa nae ndg yangu nikaenda kula pweza jioni anawaogopa sasa sijui ndio huyu muanzisha uzi.tutoleeni mazalau
 
Hivi Mwanaume wa dar ni yupi?? Jaribu kuweka watu sawa maana dar imejaa wa kila mkoa, halafu jambo ambalo hulijui ni kwamba kila ukiona tabia mbaya dar basi ujue ndio tabia ya tanzania...
 
Aiseeee vita ya leo kali sana,
Men Dar vs Men Mkoa.

Nafuatilia mpambano kwa makini,
Mshindi nitamtangaza.
 
Kweli kabisa mkuu halafu washamba sana na usiombe upande nae gari akuegemee wananuka kimbuzimbuzi sijui wanalala na wanyama wana harufu flani hivi ila wakija Dar wakioga wakawa km sisi wanakuwa safi halafu wakiwa kwao wanaleta mazereu kuna mmoja nilikuwa nae ndg yangu nikaenda kula pweza jioni anawaogopa sasa sijui ndio huyu muanzisha uzi.tutoleeni mazalau
Ha ha ha ha haaaa! Daaah, wanaume wa Dar ni wasafi au ni wale alowataja jamaa 10%. Sasa wenzako wanachangia mada kwa wale 90%. Jamaa anasema wengi wao "mtoto c ridhki" Ni kweli?
 
Ha ha ha ha haaaa! Daaah, wanaume wa Dar ni wasafi au ni wale alowataja jamaa 10%. Sasa wenzako wanachangia mada kwa wale 90%. Jamaa anasema wengi wao "mtoto c ridhki" Ni kweli?
Kuna wanaume wa Dar na vijana wa Dar mkuu.huyu kasema ni wanaume wa Dar mimi ni mwanaume na hapa tunajadili wanaume wa Dar.
 
Back
Top Bottom