Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba ukiona mtu anatembelea gari mpe heshima yake, wanamuiga nani acha wivu gari inauzwa bei gani mpaka mtu aige kununua mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari kwanini usimpongeze, huko kwanu ni wangapi wanamiliki gari acha wivu.Wananunua magari kwa kuiga wachache wenye uwezo na pia kudanganya watu ila wese linawapiga changa.
Hii itakua aliambiwa na mama aliekuwa mwenyeji wake.Kwahio kuna wake za watu barabarani kukwambia kama haridhishwi na mumewe?
Na ukipanda nao daladala utawajua tu, utasikia halo nitakupigia baadae nipo kwenye daladala nipo Dar. Ila kwa wakazi Wao husema nitakupigia baadae nipo kwenye gari kwisha.Akikutana na wenzake aaahh nilikuwa Dar bwana ndio maana mlikuwa hamnioni anatoa tiketi za ma daladala na tiketi ya mabasi ya kwao wakija lazima waende baharini na ndio maana mleta uzi kataja posta alienda kuona bahari na uwanja wa Taifa sasa hivi yupo na simu yake ya kichina analeta zarau na shauri yako mchina wako inazimwa hiyo we leta jeuri tu.sisi hatuwezi kula miugari kwani tunalima sisi? Au kutembea umbali mrefu kwani sisi wachungaji?.yani sijui ulikuleta umbeya Dar?.umejuaje kuwa hatuwalizishi wake zetu au ulijaribu
We Jamaa umenchekesha sana sijui dar kuna jamani duh ila dar ndo Tanzania haijalishi watu wanasema ninHome boy unesahau kitu kidume cha mkoa kikiingia bongo wiki ya pili sikiliza lafudhi ya kuongea hapo ndo kituko anataka aongee kama mzaramu
Huku wana matrekta na maroli, ila nimekuelewa.Baba ukiona mtu anatembelea gari mpe heshima yake, wanamuiga nani acha wivu gari inauzwa bei gani mpaka mtu aige kununua mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari kwanini usimpongeze, huko kwanu ni wangapi wanamiliki gari acha wivu.
Tunafanana kwa lipi mkuu?...Mleta mada Namfananisha na mwanga lutila au jamaa mmoja sijui kama yuko hai maana ni kitambo anaitwa lukelo sakafu
Na ukipanda nao daladala utawajua tu, utasikia halo nitakupigia baadae nipo kwenye daladala nipo Dar. Ila kwa wakazi Wao husema nitakupigia baadae nipo kwenye gari kwisha.
Hapapendi waaapi wakati unajua ukimleta hatorudi tena uko nyakanazi kwenuAlafu ungejua hataki hata kusikia kuhusu Dar. Hapapendi.
Aiseeee vita ya leo kali sana,
Men Dar vs Men Mkoa.
Nafuatilia mpambano kwa makini,
Mshindi nitamtangaza.
Ha ha ha ha haaaa! Daaah, wanaume wa Dar ni wasafi au ni wale alowataja jamaa 10%. Sasa wenzako wanachangia mada kwa wale 90%. Jamaa anasema wengi wao "mtoto c ridhki" Ni kweli?Kweli kabisa mkuu halafu washamba sana na usiombe upande nae gari akuegemee wananuka kimbuzimbuzi sijui wanalala na wanyama wana harufu flani hivi ila wakija Dar wakioga wakawa km sisi wanakuwa safi halafu wakiwa kwao wanaleta mazereu kuna mmoja nilikuwa nae ndg yangu nikaenda kula pweza jioni anawaogopa sasa sijui ndio huyu muanzisha uzi.tutoleeni mazalau
Mkuu huyu mtu wa Shamba kuna kitu KAFANYWA na wanaume wa Dar si bule huyu
Nimeweka sababu hapo juu, hamna kingine.Mkuu huyu mtu wa Shamba kuna kitu KAFANYWA na wanaume wa Dar si bule huyu
Kuna wanaume wa Dar na vijana wa Dar mkuu.huyu kasema ni wanaume wa Dar mimi ni mwanaume na hapa tunajadili wanaume wa Dar.Ha ha ha ha haaaa! Daaah, wanaume wa Dar ni wasafi au ni wale alowataja jamaa 10%. Sasa wenzako wanachangia mada kwa wale 90%. Jamaa anasema wengi wao "mtoto c ridhki" Ni kweli?
Unakuta jamaa bonge/ zinga ila akiongea hako kasauti unachoka, kama wema sepetu.-------> Wanaume wa Dar wana matiti na Sauti nyororo....