Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Wambea kuliko wanawake
 
Ona sasa wanaume wa Dar, tukiwaambia mnatoka mapovu.
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?

Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
 
wanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town 🙂🙂
Mbona unachanganya madawa..Mara wavivu,mara watafutaji na wanajua kuhonga..Lipi ni lipi sasa?
 
Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine

Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.

Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.

Wanaume wa Dar woyee!
Kweli wewe ni mwanaume wa Dar!
 
Dar es Salaam's finest......kila kijana wa Dar ana ndoto za kuwa kama huyu siku moja

ommy dz.jpg
 
Back
Top Bottom