Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wambea kuliko wanawakeWanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kwamba alipigwa kamoja tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Mkuu unazungumzia hii kwa experience iliyokutokea?!
Msosi wa usiku hindi moja la kuchoma na ndimu.umesahau wanakula na tambi eti ndo mlo wa mchana
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?Ona sasa wanaume wa Dar, tukiwaambia mnatoka mapovu.
Ndio mpaka kuweka nywele dawa na rangi?[emoji87] [emoji23] [emoji15]Mkuu Mshana jr,
Wanaume wa Dar lazima tuwe smart tuwe presentable mbele za watu...
Sisi ndio kioo cha Tanzania
Sasa hatuwezi kuwa na Sura ngumu kama Wanaume wa Bara...haiwezekani
na Arusha kumbuka wakazi wa arusha na Moshi hawatofautiani sana uliza watu wa huko watakwambia tabia za waarushaSio arusha mkuuu labda moshi na ni zamani sana sasa hiv hakuna mtu anayeua mume wake
Chips urojoWanaume wa dar wazee wa chips mayai....
Mbona hata wale wanaume wa Bara wale wamasai wanasuka rasta na wanazipaka rangi zinakuwa nyekunduNdio mpaka kuweka nywele dawa na rangi?[emoji87] [emoji23] [emoji15]
Mbona unachanganya madawa..Mara wavivu,mara watafutaji na wanajua kuhonga..Lipi ni lipi sasa?wanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town 🙂🙂
Hapana wale ni wamasai na ile ni jadiMbona hata wale wanaume wa Bara wale wamasai wanasuka rasta na wanazipaka rangi zinakuwa nyekundu
Ndio maana dawa zinauzika sana darnyie wanaume wa dar hebu achene kulialia mnaidhalilisha taasisi ya uume....
Hawana lolote ni wivu tu unawasumbuaMbona unachanganya madawa..Mara wavivu,mara watafutaji na wanajua kuhonga..Lipi ni lipi sasa?
Acha wivu Uncle,Ukimpa yai la kuchemsha amenye eti ni adhabu
Kweli wewe ni mwanaume wa Dar!Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine
Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.
Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.
Wanaume wa Dar woyee!
Teh teh aisee nitakuja nijionee hivyo vioja vya mwanume kutengenezwa kucha ,sisi wa bara hata hizo kucha zimetoka kwa shuruba ya maisha kama kulima,kung'oa visiki kwenye shambaAcha wivu Uncle,
Karibu jiji la Maraha Dar es Salaam