Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Unaongea nini wewe?hebu jaribu kuja na manzi wako apa mjini uone kama hujarudi huko porini peke yako.wanakuja kuwa chuna,kwani mnatoa hela nyingi,halafu shoo nusu saa centa bolti ishakata,uku sisi tunahonga kidogo ila mzigo unao pigwa kinoma...nadhani,unaona ni kwanini wanawakimbilia...pesa zenu,ila wakitaka kukata stimu wanakuja kwetu