hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,539
kwa hiyo haya mambo unayaelewaa sana mwanaume wa Dar?Ni 'weave', siyo 'weaving'.
Weaving ni kitenzi cha weave [ambayo ni jina/ nomino].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo haya mambo unayaelewaa sana mwanaume wa Dar?Ni 'weave', siyo 'weaving'.
Weaving ni kitenzi cha weave [ambayo ni jina/ nomino].
ahaaa ahaaa nakuja sasa hivi kuleWeee hebu katumalizie riwaya siye
Yaah!hawachelewi kukuomba pesa ya mtaji waqt umempeleka penye matibabu nje ya nchi.mm sithubutu kumpeleka demu wangu dukani kununua kitu chochote nawajua tabia zao hawa viumbe....bora nimpe hela aende mwenyewe...la sivyo kama budget yenu ilikuwa laki 3 mkiongozana wote itafika mpaka laki 7 hawana huruma kabisa hawa
Yaani coca au Pepsi ya moto huwa siitofautishi na chai ya rangiAlafu za moto zimechomwa na jua la ikweta
PepsiDuh halafu soda yenyewe unaweza kukuta in fanta au mirinda
Ha ha haaa..Yaani coca au Pepsi ya moto huwa siitofautishi na chai ya rangi
Hahahaha hata aibu hawana kabisambaya zaidi wamekimbilia soda zilizonunuliwa na mwanaume wa dar.
Endelea kujitetea wewe mwanaume wa mkoani mnagombania soda. Hiyo ngumi imekupata eeeh kwenye jichoMtoa mada umechemka. Kumbuka kuwa Mwanza ni Jiji, na linaendelea kukua kwa haraka sana. Katika hali hiyo kun mkusanyiko wa makabila mengi tu, kama wakara, washashi, makonde, wazaramo na wengine wengi likiwemo kabila lako wewe uliloficha. Kwa maana hiyo yanayoonekana na kutokea Mwanza hayatendwi na wasukuma pekee. Hoja ingine ni kwamba, CCM ina wapenzi na wanachama walala hoi wengi, na ndio umati huo uliokwenda kumpokea Mh. Rais na kugombea soda za bure.
ha ha ha ha ha ha wakisema wanaume wa Dar huwa hawajui kumbe wengi wametoka huko huko Mbwinde wakalowea!Endelea kujitetea wewe mwanaume wa mkoani mnagombania soda. Hiyo ngumi imekupata eeeh kwenye jicho
Wanajifanya hawajui hilo. Leo hii wanaume wa mwanza wanagombania soda za bure bila aibuha ha ha ha ha ha wakisema wanaume wa Dar huwa hawajui kumbe wengi wametoka huko huko Mbwinde wakalowea!
Tena CCM naona kuna jamaa kavaa kofia ya kijani hapo.Duh! Tsh. 500/- inagombaniwa hivi, kweli hawa wanaume wa Mwz..
Wanaume wa Dar ni ni watu kama mlio huko mikoani. Naona una dalili za kusimanga wenzio.wadau hii thread yangu nawaomba muwe mnani updates kuhusu thread zinazoanzishwa na wanaume wa darisalama..
Leo nimeona kule wameleta kuwa kiba anatembea na giggy money..