Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa Bara? kwani wewe ni wa Visiwani kweli elimu ya Tanzania ni bure kkabisa hata geografia hauitambui.
kwa hiyo dar siku hizi imegeuka kisiwa?
Tukisema Wanaume wa Bara ni tatizo tunaonekana tuna gubu
 
Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
wazee wa babakyiu na pedikyiu sio kweli wanawake(mashosti zenu) wetu wanawafahamu sana?
 
Wanaume wa Bara? kwani wewe ni wa Visiwani kweli elimu ya Tanzania ni bure kkabisa hata geografia hauitambui.
kwa hiyo dar siku hizi imegeuka kisiwa?
Povu lote la nini kama hujui anamaanisha nini kaa kimya,si tuna utani wetu na mtu akisema bara inaeleweka vizuri tu.
 
Povu lote la nini kama hujui anamaanisha nini kaa kimya,si tuna utani wetu na mtu akisema bara inaeleweka vizuri tu.
wapi we division 10 unajibaraguza huna lolote.
pata elimu hapo feller
 
Wanaume wa Bara? kwani wewe ni wa Visiwani kweli elimu ya Tanzania ni bure kkabisa hata geografia hauitambui.
kwa hiyo dar siku hizi imegeuka kisiwa?
wapi we division 10 unajibaraguza huna lolote.
pata elimu hapo feller
wazee wa babakyiu na pedikyiu sio kweli wanawake(mashosti zenu) wetu wanawafahamu sana?
Mkuu naona povu linakutoka,usije kuvunja keypad huu ni utani tu relax....tunajua we mtu wa bara
 
Mkuu naona povu linakutoka,usije kuvunja keypad huu ni utani tu relax....tunajua we mtu wa bara
pyeeee we pumpkin 😀😀😀 kwani nani kasema ni islander me wa bara.
 
Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
Teh teh Magufuli mwenyewe akija Arusha anajua anakuja kwa miamba anatupia kabisa kijeshi
 
Duh imebidi hadi FFU awazuie wengine kule maana ingekuwa tabu....
348e32f92a9562c34069816716912082.jpg
Alafu kingine wanaume wa mikoani huwa hawapandi ndege za bei karibu na bure kama fast jet ni bora wajilipue kupanda basi bora kuliko kusubilia ndege ya bure ambayo unasubiria miezi sita kuipanda. Sasa wanaume wa Dar kwa kushindwa kujivunia vya kwao nasikia wameanza kuwa wanakwenda south Africa kwa ajili ya shooting za video. Na walikuwepo kiwanjani ukiachilia wafuasi wa CCM walikuwepo wanaume wa Dar wakisubiria fast jet ndio hao wanaozuiliwa na ffu na mabegi yao makubwa ka wambeba mabomu.
 
Kuna mtu namuona hapo kwenye Picha nahisi ni Mkuu Sumbai wanafanana sana aisee
 
Hahahah dunia inashangaza..nasikia mwanza kuna sato na sangala Mkubwa anayeweza kumeza gari la soda..duh
 
Back
Top Bottom