Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Wanaume wa ccm MwanzaWanaume wa mwanz mnatutia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa ccm MwanzaWanaume wa mwanz mnatutia aibu
Usukumani coca sio dili kabisa, wao wanataka mirinda nyeusi tena wanaamini inaongeza damu na Pepsi ndo wanazopenda zaidiDuh halafu soda yenyewe unaweza kukuta in fanta au mirinda
Tukisema Wanaume wa Bara ni tatizo tunaonekana tuna gubu
wazee wa babakyiu na pedikyiu sio kweli wanawake(mashosti zenu) wetu wanawafahamu sana?Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
Povu lote la nini kama hujui anamaanisha nini kaa kimya,si tuna utani wetu na mtu akisema bara inaeleweka vizuri tu.Wanaume wa Bara? kwani wewe ni wa Visiwani kweli elimu ya Tanzania ni bure kkabisa hata geografia hauitambui.
kwa hiyo dar siku hizi imegeuka kisiwa?
Nyie mbona mnagombania fanta.Wanaume wa Dar wanakunywa sana maji wawe kama Ray Kigosi.
Huyo bahili itakua sio wa dar,hebu sema harufu yake ikoje?Hahaha wanaume wetu wa dar wabahili
wapi we division 10 unajibaraguza huna lolote.Povu lote la nini kama hujui anamaanisha nini kaa kimya,si tuna utani wetu na mtu akisema bara inaeleweka vizuri tu.
Wanaume wa Bara? kwani wewe ni wa Visiwani kweli elimu ya Tanzania ni bure kkabisa hata geografia hauitambui.
kwa hiyo dar siku hizi imegeuka kisiwa?
wapi we division 10 unajibaraguza huna lolote.
pata elimu hapo feller
Mkuu naona povu linakutoka,usije kuvunja keypad huu ni utani tu relax....tunajua we mtu wa barawazee wa babakyiu na pedikyiu sio kweli wanawake(mashosti zenu) wetu wanawafahamu sana?
pyeeee we pumpkin 😀😀😀 kwani nani kasema ni islander me wa bara.Mkuu naona povu linakutoka,usije kuvunja keypad huu ni utani tu relax....tunajua we mtu wa bara
Yaani hii hakuna wabara mmekaa, hata mjitee eje.Mkuu naona povu linakutoka,usije kuvunja keypad huu ni utani tu relax....tunajua we mtu wa bara
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]nyie wanaume wa dar hebu achene kulialia mnaidhalilisha taasisi ya uume....
Teh teh Magufuli mwenyewe akija Arusha anajua anakuja kwa miamba anatupia kabisa kijeshiWa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
Alafu kingine wanaume wa mikoani huwa hawapandi ndege za bei karibu na bure kama fast jet ni bora wajilipue kupanda basi bora kuliko kusubilia ndege ya bure ambayo unasubiria miezi sita kuipanda. Sasa wanaume wa Dar kwa kushindwa kujivunia vya kwao nasikia wameanza kuwa wanakwenda south Africa kwa ajili ya shooting za video. Na walikuwepo kiwanjani ukiachilia wafuasi wa CCM walikuwepo wanaume wa Dar wakisubiria fast jet ndio hao wanaozuiliwa na ffu na mabegi yao makubwa ka wambeba mabomu.Duh imebidi hadi FFU awazuie wengine kule maana ingekuwa tabu....
![]()
Sema wanaume wa CCM bhana umevurugwa nini?.Wanaume wa mwanz mnatutia aibu
Faini ya bia soda kwani wao watoto!Shit!Wanaume wa mwanza mmetuaibisha wanaume wa bara. Mkuje kulipa fine