Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh hujatulia weweKwanza jina lenyewe la kike
Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.NAONA WANAUME ORIGINAL WAMEBAKI WA ARUSHA
hiyo itakuwa Dodoma wilaya ya Arusha..Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
hahaha watoboa maskio....wafuga kuchaa...wapaka crimu duh.kweli tanzania sasa imeishiwa wanaumeWa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
bora watoboa masikio kwa kudumisha mila, kuliko wale wa Dar wanaovaa vikukuhahaha watoboa maskio....wafuga kuchaa...wapaka crimu duh.kweli tanzania sasa imeishiwa wanaume
Hahaha sasa hivi mmehamia kwa wanaume wa mwanza, wa dar wamepumzika teh
Hawa ndo wanavaa suruali na blaus za dada zao.....wana-share hadi mikorogohahahah mkuu unaringia sura nzuri mtoto w KIUME kweli naanza kuamini hu msemo wa JR
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh hujatulia wewe
Tuulize nini?Wasukuma ulizeni
Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........
Hahahaha usinivunje mbavu wanaume wetu wa dar bwana???