Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Watu wanabahati yakupelekwa madukani na waume zao,mie naenda mwenyewe na wanangu na hata tukisafiri tukienda shopping yeye atabaki coffee shop mie nafanya shopping,kisingizio anataka niingie duka moja la pili ninunue sio nizunguke
mwisho sinunui nikirudi hotel naanza kusema "Yaa Umriii nimeipenda ile nguo ya Red" ilo jicho analonitizama mpaka naona
Aibu sasa bora anipe Pesa niende tu mwenyewe ....
 
mm sithubutu kumpeleka demu wangu dukani kununua kitu chochote nawajua tabia zao hawa viumbe....bora nimpe hela aende mwenyewe...la sivyo kama budget yenu ilikuwa laki 3 mkiongozana wote itafika mpaka laki 7 hawana huruma kabisa hawa
 
Ni hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.

Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.

Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.

Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
umesikika, hasa hapo kwenye red.
 
Hilo Nalo Neno,Kuna Siku Nilikuwa Nimeachiwa Kiduka Flan Niuze Akaja Mdada Huyo Kapanga Huku Kitaa,Kaja Na Jamaa Wanaitana Baybeee This Baby That,Ndo Demu Kuniona Dukani Akaja Akaanza Kumwambia Jamaa "Baby Unajua Sina Sukari Afu Maji Sinywagi Ya Bomba Tumbo Linaniumaga"Mie Nataja Bei Naongeza Mia 500 Kila Kitu,Jamaa Akijifanya Kujibu Mara Kapewa Kiss La Shavu Mara La Lips Mara La Shingo,Akawa Wala Haulizi Tena. Bas Jamaa Kuja Kuondoka Katoa Kama 38000 Hivi,Demu Akaniambia Usipime Sahivi Nakuja Akamsindikiza Aliporudi Akaniambia Dogo Maji Ninayo Sukari Ninayo Ila Kwakua Nawewe Ulikua Co-Starring Kwenye Movie Bas Chezea Hii 5000 Nipe Hiyo Ela.
Nikabaki Kusema Mjini Hapa.
 
ha hah ahaha
 
mm sithubutu kumpeleka demu wangu dukani kununua kitu chochote nawajua tabia zao hawa viumbe....bora nimpe hela aende mwenyewe...la sivyo kama budget yenu ilikuwa laki 3 mkiongozana wote itafika mpaka laki 7 hawana huruma kabisa hawa
Weee hebu katumalizie riwaya siye
 
Ni hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.

Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.

Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.

Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
Wanawake wa dar banaaaa hawana jipya ,kwan hivyo huku mikoani havipo
 
Wakifika huku wanapiga deshi mpaka wananuka mdomo wanaogopa gharama.Afu huwa wanajifeel inferior mwisho wa siku wanaume wa Dar wanawapora ke zao.
 
Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ha haaa kwani mwanaume kunywa st. Anne dhambi jamani?
 
Wanaume wa mwanza mmetuaibisha wanaume wa bara. Mkuje kulipa fine
 
Panya road walikua kikundi cha watu na silaha za jadi,unakumbuka kule kwenu mlikimbizwa na kulala saa 12 na kijamaa kimoja?

Kama unazungumzia wale jamaa wa nondo, tulishawarestisha in pisi longi ago. Tatizo walikuwa wanavizia wanakulamba kisogoni ila tulipowafahamu tuliwapoteza mmoja baada ya mwingine
 
Back
Top Bottom