FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Tunavyosema bara hapa tunamanisha mikoa yote nje ya Dar.. Umesikia Mtwara wanaume wanasugua kucha na kupaka inna alafu wanasema ni tattoo??Mtwara sio Bara, so hana tofauti na wa Dar tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunavyosema bara hapa tunamanisha mikoa yote nje ya Dar.. Umesikia Mtwara wanaume wanasugua kucha na kupaka inna alafu wanasema ni tattoo??Mtwara sio Bara, so hana tofauti na wa Dar tu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Duuh! Dar huwezi Pata shababi kwa style hii poleni sana wanawake wa Dar mmekosa utamu halisia wa kukunwa vipele vyenu. Maana wakunaji na mmewavutia maisha yenu.Wanaume wa Dar hao
Wao wanaonesha 0715 na wanawake wanaonesha six packs
Hahahaha hadi raha
Wengine siku hizi wanajilamba lips na kushinda saloon kufanya scrub
Manina ninyi mnatuharibia sifa za madume
Poleni sanaDar wazee wa kimoko chaliiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Duuh! Dar huwezi Pata shababi kwa style hii poleni sana wanawake wa Dar mmekosa utamu halisia wa kukunwa vipele vyenu. Maana wakunaji na mmewavutia maisha yenu.
wakifika mombasa wachumba !Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Wanakula mahindi ya kuchoma kwa blueband, embe kwa chumvi. Chips nusu na sayona washamaliza halafu wanaenda kuchezea neema za Allah kimasihara, bila kujua wake zao wanateseka
Waweze wapi! Ndo maana waganga wa kienyeji wanauza sana dawa za kuongeza nguvu Dar, hiyo biashara huku bara haitambuliki, hapa kazi tu. Mwanaume yuko bara, Dar wanatuletea jinsia ya 3 duniani.Kwikwikwikwi
Aisee dah wataweza kweli kuisulubu papuchi?
Yap! Shida ipo Dar pekee, Tanzania inatazamwa Dar, so wanatuaibisha sana wanaume wa Dar.Tunavyosema bara hapa tunamanisha mikoa yote nje ya Dar.. Umesikia Mtwara wanaume wanasugua kucha na kupaka inna alafu wanasema ni tattoo??
Waweze wapi! Ndo maana waganga wa kienyeji wanauza sana dawa za kuongeza nguvu Dar, hiyo biashara huku bara haitambuliki, hapa kazi tu. Mwanaume yuko bara, Dar wanatuletea jinsia ya 3 duniani.
Hivi kuna mwanaume wa Dar anayeweza endesha hiyo Land Rover kweli?? Wamezoea Passo automaticYap! Shida ipo Dar pekee, Tanzania inatazamwa Dar, so wanatuaibisha sana wanaume wa Dar.
hahahah mkuu unaringia sura nzuri mtoto w KIUME kweli naanza kuamini hu msemo wa JRMkuu Mshana jr,
Wanaume wa Dar lazima tuwe smart tuwe presentable mbele za watu...
Sisi ndio kioo cha Tanzania
Sasa hatuwezi kuwa na Sura ngumu kama Wanaume wa Bara...haiwezekani
Mie kanifurahisha huyo mdada na nyonga yake!Hii ni ofa iliyotolewa na Mh. Raisi magufuli baada ya kutua Airport Mwanza
[emoji1] [emoji1]![]()
Hahaha nyie si ndio mnaongea kiswanglish muonekane wasomi.....mna shida nyie. Dar sehemu gani ambayo tutakabwa.? Watoto mchele mchele nyieHahaha!! Mna majungu nyie (wabara)
Go on thinking u r hard
Come to Dar city and we'll see who get robbed!!