Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mwanaume wa shoka anaweza akayafanya haya???
 
Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine

Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.

Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.

Wanaume wa Dar woyee!
Mwanaume wa dsm na hisia zao utawajua tu
 
Halafu mnakimbia panya road... Mpo busy kushughulikia nguvu za kiume
 
Dar hiyo ndugu yangu.
 

Attachments

  • 1459175867871.jpg
    1459175867871.jpg
    48.5 KB · Views: 24
Nliona mmoja baada ya wife wake kumaliza kutengenezwa kucha eti na yeye akatengenezwa Af ni bar
Kila sehemu Tanzania ina MJI Ila
DAR Lina JIJI Na cha AJABU Uzi wote Huu unazungumzia waDAR mbona
Hamsemi wa Mwamza au Kigoma au Mbeye au kwa akina NJILINJI ?
Nyie watoa maoni kwenye Huu Uzi karibu wote mmetoka huko vijijini kwenu Halafu oooo Mie kwetu
DAR nyooooooooooooo.
Shenzitaipu.
 
Nikikukuta unatengeneza kucha nakuzaba vibao kwanza halafu lockup masaa mawili
 
Mimi sijawahi kuona watu wenye wivu kama Wanaume wa Bara...

Alafu ni washamba vibaya mno
Tena Hata kuoga wanaona shida, unapishana na mtu anastink ka nn, wanaume wa dar endeleeni kujipenda mpendeze mwaya tunawapenda hivyo hivyo Hata wakiwasema wadhaifu, bao moja kwa afya! Mapenzi sio vita mpaka ule ugali Sinia zima. Wanaume wa bara sio romantic lol😀
 
Tumewakosea, tumewakosea sana! tena inabidi kuwaomba msamaha, wanalea watoto wetu majumbani mwao bila kujua mtusamehe tu maana hakuna namna tunanusuru ndoa zenu! .
Hahahaha! Umenikumbusha kitu ndugu yangu....kipindi cha xmass nilienda Maswa nyumbani kwa colleague wangu wa kazini. Babu yake ni mganga wa kienyeji....kiutani utani tu nikamwambia babu hebu nifanyie maneuver maana naona life silielewi elewi.

Mzee akagonga gonga vijiti vyake kisha akashusha wasifu wangu, kuanzia saa niliyozaliwa maana aliitaja. Akaniambia nina mtoto wa kiume yupo Dar na mama yake kaolewa na MWANAUME WA HUKO HUKO DAR na anajua ni mwanawe. Nikamuuliza huyo demu ni nani coz mi kule nimewagonga wengi na kati yao wameloewa. Akanitajia sifa za huyo demu. Na ni kweli nilivyofuatilia ana mtoto wa kiume.
Nyie wanaume wa Dar, nikija nakuja kudai mwanangu.
 
Sasa kosa lake nini?mtu kama kaamua maisha yake yako dar mfano diamond,ally kiba,fidq,kina bele 9 na wengine wote wana origin zao,hawa nao ni wanadrsm au huui kua dar ndio tanzania?



Wanaume wa Dar hao

Wao wanaonesha 0715 na wanawake wanaonesha six packs

Hahahaha hadi raha

Wengine siku hizi wanajilamba lips na kushinda saloon kufanya scrub

Manina ninyi mnatuharibia sifa za madume
 

Attachments

  • 1459183411309.jpg
    1459183411309.jpg
    28 KB · Views: 19
Back
Top Bottom