longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
wapi wewe mi najua wanawake wa huko mnatutamani sana tu sema hayo maneno umetoa ili kuwapaka mafuta kwa mgongo wachupa manake kuna tuhuma kwamba idadi ya vibao vya kutangaza waganga wanaotoa tiba za nguvu za kiume ni nyingi kushinda wanaume waliopo dar.........Tena Hata kuoga wanaona shida, unapishana na mtu anastink ka nn, wanaume wa dar endeleeni kujipenda mpendeze mwaya tunawapenda hivyo hivyo Hata wakiwasema wadhaifu, bao moja kwa afya! Mapenzi sio vita mpaka ule ugali Sinia zima. Wanaume wa bara sio romantic lol😀
yani imezidi idadi ya wanaume wote wa dar es salaam ndo maana mnauziwa sex toys