Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tena Hata kuoga wanaona shida, unapishana na mtu anastink ka nn, wanaume wa dar endeleeni kujipenda mpendeze mwaya tunawapenda hivyo hivyo Hata wakiwasema wadhaifu, bao moja kwa afya! Mapenzi sio vita mpaka ule ugali Sinia zima. Wanaume wa bara sio romantic lol😀
wapi wewe mi najua wanawake wa huko mnatutamani sana tu sema hayo maneno umetoa ili kuwapaka mafuta kwa mgongo wachupa manake kuna tuhuma kwamba idadi ya vibao vya kutangaza waganga wanaotoa tiba za nguvu za kiume ni nyingi kushinda wanaume waliopo dar.........
yani imezidi idadi ya wanaume wote wa dar es salaam ndo maana mnauziwa sex toys
 
Tuko busy kutafuta hela hatuna muda wa mapenzi
wapi wewe mi najua wanawake wa huko mnatutamani sana tu sema hayo maneno umetoa ili kuwapaka mafuta kwa mgongo wachupa manake kuna tuhuma kwamba idadi ya vibao vya kutangaza waganga wanaotoa tiba za nguvu za kiume ni nyingi kushinda wanaume waliopo dar.........
yani imezidi idadi ya wanaume wote wa dar es salaam ndo maana mnauziwa sex toys
 
Wanaume wa Dar wanaporwa pesa kila siku waziwazi na vijambazi wanavijua ila hawavifanyi chochote.. Wanaume wa Dar mayai sana ebu jaribu huo ujinga huku bara uone utakavushushwa kuzimu fasta
 
oho,ndio mtindo wenu unaoitwa kula tigo,si ndiyo!kuna dokta pale muhimbili anasema kwa wiki anawasafisha wanaume 5-10,kwa ku waingiza sindano ndani ya vibofu vya mikojo ili kufyonza vinyesi vilivyo ganda kwa kulana tigo,sasa kama mbele mmeshindwa hadi mmeze viagra,basi uko nyuma na mpaka mnywe super shaft,ahahaha
Mwanaume anayekimbilia tigo ni mwanaume asiyeweza kupeleka moto sawasawa
 
oya ile notice ya Magufuli mmeisikia lakini??
mnashinda kucheza pool table na kuishi kwenye nyumba za kupanga, kuchat Instagram, na kushindia kipande cha muhindi wa kuchoma,
wanaume walio na maisha ya maana hapo Dar ni wale waliotoka mkoani na kuamua kubaki na itikadi za mkoani,

nyie walamba lipsi mtaishia kwenye kuunda team Zari na team Wema huko Instagram,

mafuriko yakija mnalala kwenye vituo vya mabasi...nendeni huko mwabepande mkalime maboya nyie
 
Wanaume wa mikoani hamjielewi mnaish kwa kutegemea mvua inyeshe hahahahahaha
 
Wanaume wa mikoani hamjielewi mnaish kwa kutegemea mvua inyeshe hahahahahaha
hiyo ilikua zamani, sasa hivi maji tumejua namna ya kuya control na kuhifadhi, nyie mvua ikinyesha mnageuka vyura, maana kujenga nyumba za maana huko mwabepande mlikopewa viwanja hamtaki kisa hamna hela, mnang'ang'ania kuishi karibia na mji ili mcheze pool table na kuuza mitumba
 
Waganga wa jadi wa Dar, wategemea kuuza dawa za mapenzi kuliko kitu kingine chochote!
 
1459226710806.jpg
Dar wajanja wameishi toka kitambo sanaaa
 
Un
wanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town 🙂🙂[/QUOTEUnatuuma huku unatupuliza
 
Back
Top Bottom