Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

unakuta mtu anaazima nguo cheni saa viatu ili tu akamtongoze demu

si afadhali wa mikoani wanaazima nguo ili wakaombee kazi!!!!!
Hatari, mwezi wa 10 mwaka jana niliitwa usaili jijini Dar, nikasafiri toka Rock City ninapoishi nikafikia geto kwa chalii angu.....usaili wenyewe nguo nikaazima za kwake. Mi nilienda na pensi zangu za misele tu. Nna muda...aah
 
lakini kazi si ulipata mkuu...
 
Wake zenu mkiwaagiza huku tanzania kutoka huko vichakani hua tunawapaga zawadi ya kurudi nayo,chukueni watoto wenu nendeni nao kwenye DNA mtapata majibu
 
Naskia sumatra wametoa mapendekezo muwe mnapanda mafuso mchanganyike na wenzenu(ng'ombe) msichanganyike na binadamu wa kawaida mkiwa mnakuja mjini.
 
Sisi tutakuja hata kwa baiskeli

Na tunanuka kama beberu ila tukimpata demu wako atakuja kukuhadithia yaliyo mpata
 
Demu gani atakubali hata kusalimiwa na wewe kwa harufu unayotoa?labda sio dar.
 
Naona vijana wa mikoani mmeamua kujiriwadha kwa kuongelea wanaume wa Tanzania. Haya, mkimaliza nendeni kwenye mabwawa ya mpunga, TUNATAKA Msosi. Sisi ndo wanunuzi aka mabosi wenu.
 
Naaam mabibi na mabwana ni masaa machache tangu kupulizwa kipyenga..Naona pambano limenoga haswaa, vidume wametunisha misuli vya kutosha kuonyesha nani zaidi ya mwenzie Kwa ajili ya lile kombe la wanaume rijali hapo april moja!si mchezo!!!
Mpaka sasa waporipori wana point 880 huku watoto wa mjini wakikaribia kuwasogelea kwa point 775.
MTANANGE UNAENDELEA!!! SIO YA KUKOSA BABAKE!!
 
Nashukuru watu wa kilimanjaro kwa kunielewa na kukaa kimya,nisione kati yenu mtu anaingilia huu mjadala.
 
Jamani Napita tu naelekea mwigumbi shinyanga

dolehoi jamani ...[emoji4] [emoji4]
 
Naaam mabibi na mabwana ni masaa machache tangu kupulizwa kipyenga..Naona pambano limenoga haswaa, vidume wametunisha misuli vya kutosha kuonyesha nani zaidi ya mwenzie Kwa ajili ya lile kombe la wanaume rijali hapo april moja!si mchezo!!!
Mpaka sasa waporipori wana point 880 huku watoto wa mjini wakikaribia kuwasogelea kwa point 775.
MTANANGE UNAENDELEA!!! SIO YA KUKOSA BABAKE!!
Acha kuwapendelea hao wapori pori wa Bara huko tutakuwa hatuna imani na wewe sasa
 
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?

Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
mastaa wengine wametokea bara kina mrisho ngassa
 
kuna mtu alisema mastaa wako dar
Sasa kosa lake nini?mtu kama kaamua maisha yake yako dar mfano diamond,ally kiba,fidq,kina bele 9 na wengine wote wana origin zao,hawa nao ni wanadrsm au huui kua dar ndio tanzania?
 
ndugu naona umedandia treni kwa mbele
 
Back
Top Bottom