Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Hatari, mwezi wa 10 mwaka jana niliitwa usaili jijini Dar, nikasafiri toka Rock City ninapoishi nikafikia geto kwa chalii angu.....usaili wenyewe nguo nikaazima za kwake. Mi nilienda na pensi zangu za misele tu. Nna muda...aahunakuta mtu anaazima nguo cheni saa viatu ili tu akamtongoze demu
si afadhali wa mikoani wanaazima nguo ili wakaombee kazi!!!!!