Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

mm sithubutu kumpeleka demu wangu dukani kununua kitu chochote nawajua tabia zao hawa viumbe....bora nimpe hela aende mwenyewe...la sivyo kama budget yenu ilikuwa laki 3 mkiongozana wote itafika mpaka laki 7 hawana huruma kabisa hawa
Yaah!hawachelewi kukuomba pesa ya mtaji waqt umempeleka penye matibabu nje ya nchi.
 
wadau hii thread yangu nawaomba muwe mnani updates kuhusu thread zinazoanzishwa na wanaume wa darisalama..
Leo nimeona kule wameleta kuwa kiba anatembea na giggy money..
 
Endelea kujitetea wewe mwanaume wa mkoani mnagombania soda. Hiyo ngumi imekupata eeeh kwenye jicho
 
Endelea kujitetea wewe mwanaume wa mkoani mnagombania soda. Hiyo ngumi imekupata eeeh kwenye jicho
ha ha ha ha ha ha wakisema wanaume wa Dar huwa hawajui kumbe wengi wametoka huko huko Mbwinde wakalowea!
 
Wanaume wa bara mna matatizo sio bure,hivi mwanaume wa shoka anagombania pepsi tena ya moto?aibu sana hii,wanaume tumedhalilika sana.
 
wadau hii thread yangu nawaomba muwe mnani updates kuhusu thread zinazoanzishwa na wanaume wa darisalama..
Leo nimeona kule wameleta kuwa kiba anatembea na giggy money..
Wanaume wa Dar ni ni watu kama mlio huko mikoani. Naona una dalili za kusimanga wenzio.
 
Kwani kuna ubaya basi? Au kuna mtu alishikiwa bunduki akachukue hizo soda kwa lazima!! Si kila MTU kaenda kwa ridhaa Yake!!
 
Ukitaka kutawala.muafrika mpe chakula.

Utamtuma kila unapotaka na ataenda..
Kitendo hichi kimeonekana cha kishujaa sana.. I can imagine
 
Ha ha haaa!, hizi mada chokozi sijui zitaisha lini!!!?. Ngosha ze swaga don's wanafanya yao hadharani
 
Huu uzi lazima umeanzishwa na WANAUME WA DAR!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…