Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
We unajivunia nn mshamba wwkumbe ndo mnajivunia hivyo? dharaulikeni tu mnastahili
Wewe unajunia nn special? Mshamba tuukumbe ndo mnajivunia hivyo? dharaulikeni tu mnastahili
Labda kama ndugu yako ndo kafanyiwa hivo kwa mm sina ushahidi naloumesahau jingine, nyie wanaume wa Dar siku hizi mnaliwa 0713 na kuolewa pia
dakika 2 chali. mnawatia shombo dada zetuNa kwambia mtatelekezwa mpaka mhame dunia kudadeki
Ndio wanazozitaka hizo shombo, sio nyie mnawwbaka tuudakika 2 chali. mnawatia shombo dada zetu
Bora Mimi mwanaume Wa kigoma....Khee mwanaume wa dar huyooo
kweli bora wewe aisee ....tafuta pesa basi nije kutumiaBora Mimi mwanaume Wa kigoma....
Sawa,..,ngoja nizitafute tuje tutumie halafu si unajua sisi wanaume Wa kigoma tukipanda huwa hatushuki mapema.kweli bora wewe aisee ....tafuta pesa basi nije kutumia
hilo halina tatizo ...Sawa,..,ngoja nizitafute tuje tutumie halafu si unajua sisi wanaume Wa kigoma tukipanda huwa hatushuki mapema.
Jumapili njema wadau,
Kuna misemo ya majungu hapa jamvini inakera saana....kuhusu wanaume wa Dar, jamani tunawasakama sana hawa wenzetu wa Dar wakati wamewazidi kila kitu mfano.
1. Wanajua kutafuta hela kwa akili na si nguvu kama wa shamba
2. Wasafi hawanuki wananukia si kama wa shamba wanaonuka kibeberu
3. Wanajua mapenzi yaaani ukitaka kujua kama sisi njemba za Dar noma angalia mademu wa mkoa wakija mjini huwa hawataki kurudi shamba, wanawatelekeza kabisa wanaume zao wa shamba naku wadharau,
Pia mwanaume wa dar anapoenda mkoani anavowagonga mademu wa mkoa mpaka wake za watu yaani full kuwachinja mfano mimi kwa sasa naishi mkoani jinsi nnavowatesaaaa yan washkaji wamkoa wanakujakuomba mautundo kwangu.
Proud to be Mwanaume wa Dar sisi ni Mashababi wa Tz. Hata rais anajua Dar ndo mpango
Correction please...!!Khee mwanaume wa dar huyooo
Ushamshkisha baba ako kwanza???Sawa kijana shababi.....mimi nina 10,000 naomba nikushikishe ukuta please.
Wewe umetendwa n Miji dume shababi ya Dar na bado unaipenda kwajinsi wanavojua kuhonga na ku trick akili yakoCorrection please...!!
sio mwanaume wa dar ni mtoto wa kiume wa dar.
Kwa hayo aliyoandika sijaona hata kimoja ambacho mwanaume kamili anapaswa kuchukulia kama kigezo cha kujivunia mbele ya wanaume wengine. Kma ni kutafuta pesa kwa kutumia akili ni akili ipi wanayotumia na kwa kazi ipi!? sababu dar ndio inaongoza kwa kuwa na matapeli wengi sasa utapeli nayo ni kazi ya kujivunia!?
Hawa watoto waliokuzwa na chips zilizokaangiwa mafuta ya transfoma wana tatizo sana kwanzia kwenye bongo zao.
Ila wengi hamko vizuri kwenye kukandamiza ni pesaambazo mnatafuta bila jasho juwa mnahonga bila ya uchungu na uongo ndio unaowafanya wadada wawapende.
Hajakutana na mimi pia pengine anagunduKuna dada kawaanzishia thread analalamika eti nyie dakika tatu tu hoi..