Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tatzo wanaweke wanao ongea blabla humu za wanaume wa dar Mar kimoja hoi au mar 30m at least,wengi ni makahba tu! kwa nn mje kulalmika humu nende basi uko walipo km mapenzi matamu sana mkirud mkae kimya.............
Mwanaume kufanya kazi
 
Kuna dada kawaanzishia thread analalamika eti nyie dakika tatu tu hoi..
 
Jumapili njema wadau,

Kuna misemo ya majungu hapa jamvini inakera saana....kuhusu wanaume wa Dar, jamani tunawasakama sana hawa wenzetu wa Dar wakati wamewazidi kila kitu mfano.

1. Wanajua kutafuta hela kwa akili na si nguvu kama wa shamba

2. Wasafi hawanuki wananukia si kama wa shamba wanaonuka kibeberu

3. Wanajua mapenzi yaaani ukitaka kujua kama sisi njemba za Dar noma angalia mademu wa mkoa wakija mjini huwa hawataki kurudi shamba, wanawatelekeza kabisa wanaume zao wa shamba naku wadharau,
Pia mwanaume wa dar anapoenda mkoani anavowagonga mademu wa mkoa mpaka wake za watu yaani full kuwachinja mfano mimi kwa sasa naishi mkoani jinsi nnavowatesaaaa yan washkaji wamkoa wanakujakuomba mautundo kwangu.

Proud to be Mwanaume wa Dar sisi ni Mashababi wa Tz. Hata rais anajua Dar ndo mpango

Sawa kijana shababi.....mimi nina 10,000 naomba nikushikishe ukuta please.
 
Khee mwanaume wa dar huyooo
Correction please...!!

sio mwanaume wa dar ni mtoto wa kiume wa dar.
Kwa hayo aliyoandika sijaona hata kimoja ambacho mwanaume kamili anapaswa kuchukulia kama kigezo cha kujivunia mbele ya wanaume wengine. Kma ni kutafuta pesa kwa kutumia akili ni akili ipi wanayotumia na kwa kazi ipi!? sababu dar ndio inaongoza kwa kuwa na matapeli wengi sasa utapeli nayo ni kazi ya kujivunia!?

Hawa watoto waliokuzwa na chips zilizokaangiwa mafuta ya transfoma wana tatizo sana kwanzia kwenye bongo zao.
 
Wewe umetendwa n Miji dume shababi ya Dar na bado unaipenda kwajinsi wanavojua kuhonga na ku trick akili yako
 
Ila wengi hamko vizuri kwenye kukandamiza ni pesaambazo mnatafuta bila jasho juwa mnahonga bila ya uchungu na uongo ndio unaowafanya wadada wawapende.

Sio lzm ucopy doc lote ndio ucomment andika kwny space bar chini zumbukuku wewe
 
Back
Top Bottom