Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Chips mayai mmeacha?? Maana wanaume wa Dar husifika kwa chakula hicho
 
Wanaume wa darisalama..ni hawaume wote wanaoishi dar hata waliohamia? Au Waliozaliwa dar? Au ni wenye kabila la watu kutoka dar?
Na je mbona wanasakamwa sana humu jf?
 
Wanaume wa darisalama..ni hawaume wote wanaoishi dar hata waliohamia? Au Waliozaliwa dar? Au ni wenye kabila la watu kutoka dar?
Na je mbona wanasakamwa sana humu jf?
unatafuta mwanaume wa dar ? pole sana
 
wanaume type hii....... haijalishi anaishi Arusha, Mwanza, KIgoma au wapi au


 
Wanaoishi mikoani kwa sasa watuambie, wanaume wa dar es salamaa ni kina nani hasa.

1. Anayeishi Dar es salaam kama makazi yake,
2. Aliyezaliwa Dar es salaam, au
3. Wazaramo na wandengereko.

Tatizo ni kwamba, hili ni swali gumu sana kwa mtu anayeishi mkoani kwa sasa kulijibu. Wengi hawana huo upeo, ila nafikiri kwao mwanaume wa dar es salaam ni yule anayeishi Dar kama makazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…