Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Kwani kuna tatizo hapo Mkuu? wewe wa wapi kwanza, usije ukawa ndo wale waliogombania soda za bure za magufuli
Si bora hao waliogombea soda? Nyie wanaume wa dar hata hizo soda mngewekewa mezani hamuwezi hata kunyanyua chupa kupeleka mdomoni.
 
acha propaganda za uongo. jifunze kudanganya basi
 
Si bora hao waliogombea soda? Nyie wanaume wa dar hata hizo soda mngewekewa mezani hamuwezi hata kunyanyua chupa kupeleka mdomoni.
Mkuu ulishawahi kujiuliza kwa nini Soda zimeshuka bei? Ni kwamba zinadumaza akili na wananchi tulivyogundua hilo tumeamua kuzipotezea,ndo maana makampuni mengi sa hv yameamua kushusha bei.
 
hao watoto wadogo bado wanasoma shule
ana miaka kama 32 hivi, kazaliwa hspa, hao hao ndio Dar original sasa, yaani ndio wanaoiwajilisha Dar bila mawaa yoyote..sio watu wazima waliokulia mkoani wakaja dar kufanya kazi hao sio
 
ana matatizo ya akili?
 
Njoo dar muone tunavyopiga jimu vifua vipana dar raha sana
unapiga chuma, unaenda shushia na kiepe hapo sijui unakuwa unamaanisha nini ..

Ndo maana Cheka akija hapo anawapasua na vidari vyenu vya kichina..
 
Wanaume wa Mwanza ,wananuka kwapa hao,yaani ukute kashuka kwenye basi pale ubungo,aisee hilo shati lake linatema utasema beberu kaja,Yaani ,Na wa mtwara na lindi kitu hicho hicho
 
Hahaha hahaaaa teh teh... wacha kutuvunja mbavu sisi wanaume wa Dar tuko foleni tumetoka kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…