Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Si bora hao waliogombea soda? Nyie wanaume wa dar hata hizo soda mngewekewa mezani hamuwezi hata kunyanyua chupa kupeleka mdomoni.Kwani kuna tatizo hapo Mkuu? wewe wa wapi kwanza, usije ukawa ndo wale waliogombania soda za bure za magufuli