kwanza uko wapi nikutafute, kama uko mkoani sory..... hatutaki washamba hata kuoga kaziAndamana kuelekea ikulu
Mwanaume wa dar huyo.Unaanzisha mada na kujijibu mwenyewe? daah
Nipo dar. Ndio maana nawajua vyemakwanza uko wapi nikutafute, kama uko mkoani sory..... hatutaki washamba hata kuoga kazi
Hata Mimi hapo nashindwa kuelewa maana asilimia kubwa ya wanaume dar ni wa mikoaniunaposema wanaume wa dar unamaanisha nini hasa, wanaume waliopo dar currently au wanaume waliozaliwa dar?
Na hutaki kutoka.... hahahaaaa... kwanini basi usiwafuate hao wa mkoa?Nipo dar. Ndio maana nawajua vyema
Wanawapapatia kwa kuwa wametoka mujini... ila baada ya kutoa uchi huwa wanajuta maana ni kama wanachafuliwa tuu.Mmh we Dada mimi sio wa dar lakin mmewaandama mpaka sio vizuri mbona wanawake wa kilimanjaro walianza kukodi wanaume Kenya baada ya wanaume wao kushindwa kazi kwa sababu ya ulevi je na wale ni wa dar? Lakn huku kwetu mwanaume akitoka dar tunaachwa na waremboo wetuu na kumbuka hata Mimi mwaka fulan nimekuja dar niliporudi kijijini kwetu msichana aliyenikataa akaanza kunitaka sasa hao wa dar wanaongelewa hapo ni wale wazaliwa wa dar au wakazi wa dar? Hebu nieleweshe hapo
Mngoni kaingia Dar.....!!!Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
Mwanaume wa dar huyo.
kwani wewe ni mzaramo?Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
Sema we dada nakuzimia kichizi yaniUnaanzisha mada na kujijibu mwenyewe? daah
Sema we dada nakuzimia kichizi yani
Tafiti hii ni nafasi tosha kwa wanaume wa Dar,na imani mkitoka kwenye pweza mkaingia kwenye soksi gem itakua kali zaidi ya jana na juzi..
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Noted [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
Ndiyo maana ndugu yangu Jana kaenda Tanga kuna kademu kameshoboka.Endeleeni kutupa promo nyie wa mikoani.
Arusha mitaa gani vile?Duuuh!! Mimi sio wa dar lakini, Ar chuga moja hii, sasa huwa inaingiaje kwenye papuchi km inakuwa inalegea namna hiyo
Njiro karibu sana mtoto mzuriArusha mitaa gani vile?