Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

unaposema wanaume wa dar unamaanisha nini hasa, wanaume waliopo dar currently au wanaume waliozaliwa dar?
Hata Mimi hapo nashindwa kuelewa maana asilimia kubwa ya wanaume dar ni wa mikoani
 
Nipo dar. Ndio maana nawajua vyema
Na hutaki kutoka.... hahahaaaa... kwanini basi usiwafuate hao wa mkoa?
Safi sana, jamaa wa mkoani hata waje na waganga lori zima, wachinje hata paka... watachemka tu, wanawake wa dar ni wetu tu😀
 
Mmh we Dada mimi sio wa dar lakin mmewaandama mpaka sio vizuri mbona wanawake wa kilimanjaro walianza kukodi wanaume Kenya baada ya wanaume wao kushindwa kazi kwa sababu ya ulevi je na wale ni wa dar? Lakn huku kwetu mwanaume akitoka dar tunaachwa na waremboo wetuu na kumbuka hata Mimi mwaka fulan nimekuja dar niliporudi kijijini kwetu msichana aliyenikataa akaanza kunitaka sasa hao wa dar wanaongelewa hapo ni wale wazaliwa wa dar au wakazi wa dar? Hebu nieleweshe hapo
Wanawapapatia kwa kuwa wametoka mujini... ila baada ya kutoa uchi huwa wanajuta maana ni kama wanachafuliwa tuu.
Wanaume wa dar wana swaga ila kitandani hamna kitu
 
Wanaume wa dar mbona kelele nyingi? kama unasemwa vitu ambavyo sio vya kweli si unapotezea? naona mmeazisha uzi watatu huu mkiponda, kwa nini mmekua bitter hivyo?
 
Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
Mngoni kaingia Dar.....!!!
 
Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
kwani wewe ni mzaramo?
 
Wanaume wa Dar mnatembea na vimafuta vya Rays
wanaume wa dar mnalegeza mikanda na kushusha sarawili
Wanaume wa Dar wanakimbizwa hata na Panya road
wanaume wa Dar bado mnapakaa Ambi na Clear Tone
na huko thread nyungune ni hayohayo gangamaleni jamani usharobaro acheni
Tafiti hii ni nafasi tosha kwa wanaume wa Dar,na imani mkitoka kwenye pweza mkaingia kwenye soksi gem itakua kali zaidi ya jana na juzi..
 
Wanaume wa Dar wana matatizo gani, hembu tujuze.
 
Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Noted [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ndiyo maana ndugu yangu Jana kaenda Tanga kuna kademu kameshoboka.Endeleeni kutupa promo nyie wa mikoani.
 
Back
Top Bottom