1.Wanaume wa Dar wako very sexy and romantic, wa mikoani wako very rude, hajakuandaa anataka akuchomeke, ukimwambia sijawa tayari bado, unaambulia vibao na kubakwa juu.
2. Wanaume wa Dar ni wa kisasa, wanajua simu mpya na OS zake, wanajua apps nzuri na namna ya kuzitumia. Wa mikoani wakitaka kununua simu, wanajua neno moja tu Tekno tachi sikikini.
3. Wanaume wa Dsm wanajua gender issues. Ukiwa unaumwa atakwambia usijihangaishe na kupika, kufua etc. Ataleta chakula kutoka huko nje, nguo atapeleka dry cleaner na nyumba atasafisha, wa mkoani atakuamsha na kukuambia hela hiyo mezano, nikirudi nikute nyumba safi na msosi wangu wa udaga uko tayari.
4. Wanaume wa Dsm kusoma ndio mpango mzima, evening classes zinafurika. Watu wanasoma post graduate diplomas, masters na PhD zao, mikoani kusoma unasoma ili iweje. Kazi na kijimradi chako vinakutosheleza
5. Wanaume wa Dsm wana confidence. Mtu anakutongoza huku akikuangalia usoni, anakupa makavu kuwa usitarajie makubwa kutoka kwangu, sina pesa sina kazi, kidogo cha halali nipatacho ndicho chetu. Wa mikoani hatongozi hadi apate hela, hana confidence ya kukufuata akiwa kachacha.
Mengine hebu ongezeni wenyewe.