Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Jamani mbona Dar tu kwani Pemba kule vipi?
 
No 1 mkuu ni hasara tupu hawa yaan wanajivua uhalisia wao wanavaa uhalisia wa kike, unakutana nae kapaka piko kali wengine na kari juu akitokea mbali utazani kabeba SIMTANK kichwani, akitoka kazini sasa mke anajiuliza huyu katoka kazini au DRESSING TABLE marash kwenda mbele matokeo wyf hampokei kwa shauku akijua hajachoka mjifunze kale kaarufu kajasho huwa kanampa hamasa mkeo akuhudumie fasta utokapo kazini sio pesa nying inaishia kwenye kioo,
 
Hivi panya road ni wavulana wa Dsm au wa mikoani?
Kama ni wa Dsm basi hapo tukae kimya, ila kama ni wa mkoani, basi heshoma tele kwetu wanaume wa MIKOANI
Panya road ndo wanaume wa dar es salaaam.
 
No 1 mkuu ni hasara tupu hawa yaan wanajivua uhalisia wao wanavaa uhalisia wa kike, unakutana nae kapaka piko kali wengine na kari juu akitokea mbali utazani kabeba SIMTANK kichwani, akitoka kazini sasa mke anajiuliza huyu katoka kazini au DRESSING TABLE marash kwenda mbele matokeo wyf hampokei kwa shauku akijua hajachoka mjifunze kale kaarufu kajasho huwa kanampa hamasa mkeo akuhudumie fasta utokapo kazini sio pesa nying inaishia kwenye kioo,
 
safdi sana MMU inarudi katika heshima yake tiririkeni............msitoe mapovu
ila usisahau tuna FIX sana unaweza ukajiona uko Holiwood wakati tunakupiga fix
 
kabla ya joti msamiati wa mdebwedo sijui ulikuwepo au lah,kama ulikuwepo basi sanaa inatumika kukuza lugha maana hatukulijua hili neno na kama halikuwepi basi ni kweli kiswahili kinakua .
 
Wanaume wa dar katika ubora wao...ndio wanaongoza kwa thread zao za kuchapiwa,vibamia na ukosefu was nguvu za kiume na wengine wanaomba ushauri eti jinsi ya kumrizisha mwanamke kama umelegea kama mtoto wa kike sahau kumridhisha utaishia kulambishwa papuchi kama mbuzi michepuko haitaisha mwanaume mmelegea kila upande
 
Mkuu bila kuanzisha burudan kama hizi utakufa siku si zako,, ukizingatia utumbuaji majibu umegusa kila mtu kwa namna moja au nyingne
Ha ha ha ha nakuelewa sana ndio maana tunaenda sambamba! Vipi mvua hazijaharibu mazao huko?
 
Taja ww wa mkoa gan coz dar wengi wahamiaj ..
Kingine huku akili nying inatumika kutafut pesa so ukijakutok mkoan alafu ukiwa na tamaa za v2 vya watu lazim utashika ukuta tu........all in all ndo mana kukaitwa bongo ......means lazma utumie akili kutafuta......kama unataka nguvu nenda shamba ukalime
 
Baki tu huko huko mkuu,huku inahitajika akili nyingi competition kubwa.
Mkuu nabaki tu shamba maana ata uku jf naipata habari napata nikitoka shamba napitia jf kidogo kupata habari kwa dunia hii ya tehama hakuna tofauti labda kusuka Na kutoboa pua uku kwetu tumezoea wanawake walikini uko mjini mnaona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…