The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Alafu wana tabia ya kutoka mapovu wanapoambiwa ukweli wasioutaka.Hujamgusa yeyote wewe mbwiga, badala ya kufanya kazi zako unakaa kuchunguza vitambi vya wanaume wenzio. Aibu kwako kwa kudhalilisha uanaume.
Sina bifu na mtu, naona wanadaresalam mnaniponda kweli, kama kwenu ni vitu vya kawaida poa, kwangu mie ni mshangao.Unaonekana kama kuna una bifu binafsi na baadhi ya wanaume wa mjini darisalama ili kupata relief ndo umekuja kujipostia thread ya kimbea mbea ungekuwa rijal kama unavyodai ungebaki huko mkoani ila kwa sababu darisalama kuna madili imebidi uje mwenyewe haya wasalimie huko mkoani kwenu
Ukweli UPI?Alafu wana tabia ya kutoka mapovu wanapoambiwa ukweli wasioutaka.
Wanawake wengi wa Dar wanalalamika kuhusu wanaume wao. Ni wengi!umelalamikiwa na wangap
Sina bifu na mtu, naona wanadaresalam mnaniponda kweli, kama kwenu ni vitu vya kawaida poa, kwangu mie ni mshangao.
Natoka saa 11 alfajiri narudi saa 11 ya jioni mkitukuta kwenye vijiwe, mida ya jioni tushatoka kutafuta maisha pale tunadilisha habari, na kupeana uzoefu wa mjini.Hamna uchunguzi, cha kufanya usikae nyumbani tu, mambo yako wazi wazi, ni macho yako tu!
Hujaombwa tako kweli, mbona hujaorodhesha hiyo
Mkuu chips huliwa zaidi na watu walio single na sio familia, familli hula siku moja moja tu. Alafu bei chips mishikaki mi 4 ni Tsh.3,500 huko kijijini hii inatosha kunulia kitoweo cha kula familia yenye watu kumi ukishaa ya mjini tafuta na majibu yake.Umesahau kitu kimoja,chakula chao kikubwa ni chips.Wakati sisi wa mikoani tunakula ugali kila siku