Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
wanakimbia panya road
 
Nliona mmoja baada ya wife wake kumaliza kutengenezwa kucha eti na yeye akatengenezwa Af ni bar
 
Kali zaidi ilikuwa ile ya panya road, hapo jamaa walitudhalilisha sana. Sipati picha hapo panya wajichanganye siku moja watokee hapa kabwe au eneo lolote Mbeya...
Wanaume wa Dar waliacha hata kunywa bia kwasababu ya vipanya road, wakitoka job wanajifungia ndani na wake zao
 
Hiyo ni coment ya aina ya ushamba ulionao, wapi panauzwa nguo za wasanii pekeake au nguo za wasanii zikoje. Tatizo unaona kwenye TV tu ukija Dar utashangaa sana aina ya mavazi na mivao mbalimbali hii ndiyo karibu sana ujifunze mengi, kumbe mkija mnayoaona mnaandika kwenda kusimulia huko. Mkuu hebu weka picha ya tiketi, ulikuja na basi gani na kurudi basi gani.
hahahahahahahah mkuu umenichekesha sana hahahah, niweke picha ya tiketi au sio, nipo kampala university hapa sasa picha ya nin? hahah
 
wanakimbia panya road
uku unyirambani Iramba,ugali wanaokula wanaume wenzetu anakula mtoto wa miaka mitano!tena kaugari kenyewe unga umekobolewa na hakajai hata kiganja,na anakula na kubakisha...ndio maana viagra zina soko uko sana,asubuhi kikombe kimoja cha chai na silesi mbili,mchana tonge kumi na dagaa,halafu usiku viazi mviringo,chili sosi na kijuisi cha embe,hivi kwa mlo huu waataweza kusimamia ukucha kwenye shoo ya sita kwa sita kwa possession ya 100%!?uku iramba asubuhi tunagonga ugali wa mtama na maziwa kama chai,kunywa togwa ya mtama from morning to evening kama maji ya kunywa,mchana ugali wa mtama na mlenda,tukitoka hapo tunaenda kunywa pombe ya mtama mpaka usiku tunaporudi nyumbani jkugonga ugali kwa samaki wa ziwa kitangiri,sasa hapo mama watoto akileta tunda la mti wa kati kati lazima aombe poo,na bado kesho yake tunaamuka kwenda kulima tena saa kumi usiku!ile nyie dar kazi kuota vitambi vya tumbo na vya makalio
 
Sasa kama mnapiga shoo sana inakuwaje hao wanawake wenu wanakimbilia huku Dar na kutulilia tuwaoe
 
Back
Top Bottom