Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Jumapili njema wadau,
Kuna misemo ya majungu hapa jamvini inakera saana....kuhusu wanaume wa Dar, jamani tunawasakama sana hawa wenzetu wa Dar wakati wamewazidi kila kitu mfano.
1. Wanajua kutafuta hela kwa akili na si nguvu kama wa shamba
2. Wasafi hawanuki wananukia si kama wa shamba wanaonuka kibeberu
3. Wanajua mapenzi yaaani ukitaka kujua kama sisi njemba za Dar noma angalia mademu wa mkoa wakija mjini huwa hawataki kurudi shamba, wanawatelekeza kabisa wanaume zao wa shamba naku wadharau,
Pia mwanaume wa dar anapoenda mkoani anavowagonga mademu wa mkoa mpaka wake za watu yaani full kuwachinja mfano mimi kwa sasa naishi mkoani jinsi nnavowatesaaaa yan washkaji wamkoa wanakujakuomba mautundo kwangu.
Proud to be Mwanaume wa Dar sisi ni Mashababi wa Tz. Hata rais anajua Dar ndo mpango