Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Usijali now nipo kwa wauza sura daslam hahahaha nawashangaa tuu walivyo kama mabata mzinga.
Aaaaaah!! Kama namna gani uwe unakuja huku mara moja moja tukuondolee ugwadu sistaaaa......siunajua machalii wa ar??
 
Aaaaaah!! Kama namna gani uwe unakuja huku mara moja moja tukuondolee ugwadu sistaaaa......siunajua machalii wa ar??
Laivuu man, wa huku ni full mandezi, kuna Ree mmoja yaani ni balaa tupu sitaki kukumbuka
 
Watoto wapenda kuvaa hereni na kutoboa pua
 
Habari wakuu,hili neno wanaume wa dar linavuma kwa kasi sana,ni kitu gani hasa?
 
hawana maono ya mbele kutwa kulialia kwenye mapenzi ndo kabisaa!!! Wa kwanza kulalamika Ovyo, hawawezi tunza siri ugomvi mdogo suluhu huwa ni kumuacha mwenza, wanajipodoa sana, same guy wana mambo ya kike, kikubwa zaidi limbukeNi kila teknoloji mpya inayotokea baas ata kama ni za wavulana nao wamo hasa hizi earphon ndo balaa adi unashindwa kutofautisha mvulana na mwanaume, kwenye social network ukichunguz wana jf weng humu ni wa dar huko BADOO ndo hatari, yaan wao kazi yao ni kushindana kuifahamu mitandao ya kijamii waonekane kila kitu wanajua au wamo, ukigusa kwenye mapenzi wao wanafanya kama fasion utasikia mchepuko wangu! na mengine mengi, #msinichukie ndo ukweli huo.
 
Back
Top Bottom