KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages.

Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea mwanafunzi amekataa kutoa simu basi lecturer anatishia kumfelisha mwanafunzi.

Hii tabia inakera kwani inavunja privacy za wanafunzi.
 
Sasa we unafeli wapi si unakataa tu kumpa simu mpaka aje na polisi na wakati anasema atakuferisha we si unakuwa unamrekodi then unamchana kwamba akikuferisha makusudi tu mambo yote hadharani.
 
Chai
 
Unampa vipi simu yako? Ukimpa maana yake umeridhia huo upekuzi hivyo usimpe hiyo simu in the first place. Miaka ijayo naona kabisa huko chuo kutakuwa na viboko tena siku hizi mnavyoingia watoto chuo mtachezea bakora tu kama Secondary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…