Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

So kampotezea ili ajitafute kimaisha?
ndio Mfano mm nina mpenzi wangu sasa ni miez mitano simjibu sms wala simpigi


sometimes i call her nakupiga stories


Na nina Mpenda sana but Mapenz kwang sio kipaumbele kwasasa na yeye ha fit yan hana la kukuambia dhaid ya Hi babes or babe i miss you sijui come see me mara nn siunajua Grls things

I Promised her ntamuoa anipe space kwanza Kumeet physical ni mara chache san




Lakin

kama wew Hamuelewan Miaka mitatu yani anampenzi mpya au hakupend kabsa sema wanawake mnajizimaga data Kwasab Red flag ya break up iko waz sana
 
Sio mtu wako wa karibu tunajua ni wewe mwenyewe
 
Wakati mwingine muwape watu nafasi.Je,kama kuna vitu vizito vinamsumbua au yuko bize na kazi zake? We kutwa Masms na macall kutwa kama jendawazimu.Wapeni watu nafasi ya kupumua nyie wanawake eboo.
 

Duuh Basi ntamshauri my friend a move on tu maana hamna namna
 
Asa mhusika hawezi kula saivi kakonda kisa huyo kijana.
Bora umpende akupendae kuepuka hizo shida zote
Ale tu maana akikonda anazidi kumpa sababu awezi kuwa na mtu aliekonda kama baskeli.
 
Kukataa kuachwa ni tabia mbaya sana.

Yani unaenda kujiumiza moyo kwa sababu mtu kakuacha? Kivipi?

Kila mtu ana haki ya kumuacha mpenzi wake ambaye hawana ndoa, kumuacha vyovyote, popote, kwa namna yoyote ilimradi hajavunja sheria.

Kuna wanawake ni ving'ang'anizi hakuna mfano, ukimpa nafasi ya kuongea tu anakung'ang'ania. Sasa mtu kama huyo akiwa ghosted wala sishangai.

Mahusiano pekee yenye masharti ya kuachana ni ndoa.

Ku ghost mpenzi ni haki ya kikatiba.

Yani ntu akijisikia tu hataki kukuona, kukusikia na hata kukunusa, ni haki yake kuku ghost.

Hutakiwi hata kuuliza kwa nini mtu kakuacha, unatakiwa ujiongeze mbele kwa mbele kutafuta mpenzi kwingine.

Yani mtu kakuchoka mpaka hata kukuaga kaona nuksi, bado unajipendekezea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…