Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Si ushukuru Mungu kwa kuwa hao ni halaliUnabanwa haja ukiwa baa au klabu unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo
We nani alikwambia ukauzie kalanga barUnabanwa haja ukiwa baa au klabu unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo
Haramu wakoje?Si ushukuru Mungu kwa kuwa hao ni halali
UpindeHaramu wakoje?
Huwa siuzi kalangaWe nani alikwambia ukauzie kalanga bar
(Joking)
hahahahahahah
Halali yao ni ipi, uzinifu?Si ushukuru Mungu kwa kuwa hao ni halali
Ongeza vyoo
Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke.
Hii imekithiri sana hapa Bongo.
huku nilipo sasa wanabadirishana virusi ni hatariAcha wenzako wabadilishane virusi vya bei rahisi na vya haraka haraka.
AiseeUnabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke.
Hii imekithiri sana hapa Bongo.