Tabia ya kukurupuka


Sio mfupi….kutokana na kukurupuka huwa sipendi kuongea sana.
 
Reactions: Auz
Mfatilie muigizaji mmoja anaitwa Braza K a.k.a wa kukurupuka yule ndo role model wako kuna vitu utaongeza kwenye kipaji chako na utapiga hela
 
Kama umeshajitambua udhaifu wako, sasa hakikisha matukio au mazingira yaliyokuingiza katika matatizo na yanayofanana nayo, ukikutana nayo, uchukue muda wa kuyatafakari, kupata ushauri ikibidi, kabla ya kuchukua maamuzi juu yake.
 
Kweli mkuu,how to go about
Usiwe muongeaji sana jitahidi sana kuwa mkimya, ikiwezekana tafuta hata mtu mmoja unaemuamini kabla ya kuongea au kuamua umuulize bwana hapa kuna situation ipo hivi na mimi naona niamue hivi vp nitakuwa sawa, ila jizuie sana kuongea ongea mostly unapokuwa na panic
 
Tumia akili kabla haujafanya maamuzi iwe kwenye maongezi au matendo, na sio kutumia mihemko kwenye kufanya maamuzi au kuzungumza.
Utafeli sana.
 
Tumia akili kabla haujafanya maamuzi iwe kwenye maongezi au matendo, na sio kutumia mihemko kwenye kufanya maamuzi au kuzungumza.
Utafeli sana.
Kila mara katika kuongea au kutenda,ni njia ipi nzuri ya kutumia kufanikiwa katika hilo?
 
Nilitaka kukurupuka kujibu bila hata kusoma mpaka mwisho
 
Kila mara katika kuongea au kutenda,ni njia ipi nzuri ya kutumia kufanikiwa katika hilo?
Jifunze kuwa msikilizaji au msomaji mzuri kabla ya kuzungumza au kuandika na mfuatiliaji mzuri kabla ya kuanzisha kitu. Bila shaka utafanikiwa katika hilo.
 

Jijengee utaratibu wa ku back off. In heated moments, asses then ndio uchukue hatua. Itakusaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…