co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
- Thread starter
- #21
Samahani, Wewe ni mfupi?
Itakuwa unapenda kuongea sana.
Jaribu kuanza kupenda kusikiliza kuliko kuongea. Hata kama jambo unalijua na una hakika unalijua. Unaweza kukausha tu mpaka kuwe na uhitaji sana wa ww kuzungumza.
Usiwe aina ya wale hata class kila swali kanyoosha kidole.[emoji23][emoji23]
Sio mfupi….kutokana na kukurupuka huwa sipendi kuongea sana.