co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Habarini wanajamvi, katika haya maisha kila mtu anatabia zake ambazo kwa namna moja au nyingine zinamsababishia matatizo.Mimi nina tabia ya kukurupuka sana katika kuongea au kufanya maamuzi au kufanya jambo halafu baadae ndo nakuja kugundua nimefanya wrong.
Wanajamvi naamini nyie ni watu wa busara,hivi nawezaje kuacha hii tabia? mimi nikijana umri wangu 25.
Wanajamvi naamini nyie ni watu wa busara,hivi nawezaje kuacha hii tabia? mimi nikijana umri wangu 25.