Tabia ya kukurupuka

Tabia ya kukurupuka

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,541
Reaction score
2,487
Habarini wanajamvi, katika haya maisha kila mtu anatabia zake ambazo kwa namna moja au nyingine zinamsababishia matatizo.Mimi nina tabia ya kukurupuka sana katika kuongea au kufanya maamuzi au kufanya jambo halafu baadae ndo nakuja kugundua nimefanya wrong.

Wanajamvi naamini nyie ni watu wa busara,hivi nawezaje kuacha hii tabia? mimi nikijana umri wangu 25.
 
Nenda Lugalo jeshini, ukifika pale getini anza kuvuta na kutikisa mlango ili ubomoke...😜 I'm sure utakacho kipata hapo, wenge lote litayeyuka hadi akili ikukae sawa....🤣 na baada ya hapo utakua umepona kabisa ugonjwa wa kukurupuka...😝
 
Nishawahi mjibu lecturer, Mwl wangu wa class o-level, kiongozi wangu kazini mpaka Mpenzi sijui bwana angu "Sina akili za kukurupuka"

Maana me sipendi mtu kutumia udhaifu wangu wa kihisia kunididimiza...
 
Nenda ligalo, ukifika pale getini anza kuvuta na kutikisa mlango ili ubomoke...😜 I'm sure utakacho kipata hapo, wenge lote litayeyuka hadi akili ikukae sawa....🤣 na baada ya hapo utakua umepona kabisa ugonjwa wa kukurupuka...😝
Ligalo ndo wapi na hilo geti lina nini kwani
 
Nenda ligalo, ukifika pale getini anza kuvuta na kutikisa mlango ili ubomoke...😜 I'm sure utakacho kipata hapo, wenge lote litayeyuka hadi akili ikukae sawa....🤣 na baada ya hapo utakua umepona kabisa ugonjwa wa kukurupuka...😝
Kuwa serious kidogo basi,wengine tunakuja humu kupata msaada sio kejeli.
 
Samahani, Wewe ni mfupi?
Itakuwa unapenda kuongea sana.

Jaribu kuanza kupenda kusikiliza kuliko kuongea. Hata kama jambo unalijua na una hakika unalijua. Unaweza kukausha tu mpaka kuwe na uhitaji sana wa ww kuzungumza.

Usiwe aina ya wale hata class kila swali kanyoosha kidole.😂😂
 
Back
Top Bottom