Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

Dunia inauonevu Kwa sababu kanuni ya jino Kwa jino haitumiki tena.

Na wanayoitumia ni watu werevu, wenye pesa, na wenye mamlaka.

Watu dhaifu ndio hufikiri Kama ulivyoeleza hapo
Kwa hiyo kipindi Cha nabii Musa hiyo kanuni ilivokua inatumika uonevu haukuwepo na watu walikua hawaoneani?Punguza ujuaji huwezi kuwa mtaalamu wa mambo yote chagua eneo moja ndo uwe unaandika zaidi ya hapo unapotosha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui.
Walalamikaji kamwe hawana huo uwezo, walalamikaji siku zote huongozwa na kanuni ya unafiki, woga na majungu.
Hakuna mapinduzi yanayoweza kufanywa na watu wa Aina hiyo.
Wewe na CCM yenu si ndo mnaamini kwamba mtaongoza milele ndo maana mnakuwa jeuri na viburi
 
Kwa hiyo kipindi Cha nabii Musa hiyo kanuni ilivokua inatumika uonevu haukuwepo na watu walikua hawaoneani?Punguza ujuaji huwezi kuwa mtaalamu wa mambo yote chagua eneo moja ndo uwe unaandika zaidi ya hapo unapotosha watu

Sent using Jamii Forums mobile app

😊😊😊

Huwaga sibishani na mtazamo wa mtu.
Naamini ndivyo akili yako ilivyofanya kazi. Kwa hilo nakushukuru sana
 
Back
Top Bottom