Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

Binadamu ni social animal. Na kama social animals wengine, kama Mbwa mwitu, simba, sokwe nk. Mbabe ndiye anafaidi. Kama mnyonge hata jike hupati, na hili ni muhimu sana. Sasa hivi karibuni kuna oungo umeenea kuwa binadamu wote ni sawa. Huu uongo ndiyo unafanya watu waone wanaonewa kumbe ndiyo asili yetu.
 
Kulalamika kunasaidia nini sasa!? Ndio hizo gharama za maisha zitashuka!? Kama gharama za maisha zimepanda Tanzania, si uhamie huko ambako hazijapanda!? Hapa Tanzania na popote pale duniani hakuna atakayebadilisha/Rekebisha mambo/Hali yakufaidishe eti kwa sababu tu umelalamika.

Umeamua/Ukiamua kuishi kibinaadamu tambua kuna walioamua kuishi kinyama. Usishangae wala kulalamika pale wewe umewafanyia ubinaadamu wao wakakulipa unyama. Ndivyo ulivyochagua.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tumia akili yako vizuri usijibu kwa kukulupuka , Kulalamika sio vibaya kwa Sababu ni kutokana na Kulalamika ndipo mambo hubadilishwa na serikali ,hata Jana Jaji Warioba alalamika kuhusu mambo ya uchaguzi wa 2020 vipi na yeye ni Lofa?Acheni ujuaji wa kijinga kujifanya mnajua Kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Unaandika hovyo
2. Unalalamika kisa umeambiwa usiwe unalalamika!?

Acha kulalama, Pambana!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Watu tunapenda Sana kulalamika.
Ila Kuna baadhi ya mazingira tunasababishiwa.
 
Watu wenye mitazamo Kama yako ndo wazuri kwa kuchukulia vitu kirahisi endeleeni hivyo hivyo....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ana lala sebureni km baiskeli
Lazima utuone malofa maana hujui hata petrol tunanunua buku 3 we si unalala kwa shemeji sebleni Kama baiskel
ila siku shemej yako akikunyima msosi aanze kukulisha mlo mmoja Kama mbwa usiende kijijin kulalamika kuwa anaroho mbaya
 
Lazima utuone malofa maana hujui hata petrol tunanunua buku 3 we si unalala kwa shemeji sebleni Kama baiskel
ila siku shemej yako akikunyima msosi aanze kukulisha mlo mmoja Kama mbwa usiende kijijin kulalamika kuwa anaroho mbaya
Petrol elfu tatu unalia Lia Nini wakati gari ulinunua million 5 una akili wewe,
Acha kulia Lia kama Vipi uza gari upande daladala,
Umaskini Mbaya Mtu mwenye V8 lake hawezi lalamika kuuziwa mafuta Bei Hiyo ila wenye Passo na ISt Ndio mnaongoza kulia Lia,

Anyway

Sina nyumba Wala gari ila hua sipendi kulia lia kinyonge!

Shabhash!
 
Ni jinsi gani huna akili? Ni nan kakwambia Mimi Nina gari? Kwahiyo wewe ukiskia mfumuko wa bei ya bidhaa ya mafuta kwakua wewe unaendesha baiskel mkangafu unafikiri athari haiwezi kukupata?
Unaonekana kichwan umejaza uji wa pilipili manga tu hamna kitu
 
Usipanic mangi tafuta Hela Acha kulia Lia haitakusaidia bidhaa zikipanda bei Wewe pandisha mizuka ya kusaka Pesa upate kwenda na beat,
Ulitaka bidhaa zisipande wakulima na wafanya biashara wafe njaa
Kufa kufaana
eboooo!
 
mhn! kwa kadri ya kicwa cha habari ni kweli lakini pamoja sikuweza kuisoma yote kwa mistari michache niliyosoma na mada kuwa ndefu kiasi hiki ni kwamba na wewe ni mlalamishi tu!
 
Mitanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inajua kulalamika kana kwamba inafiil,,,,au basi wakuu tumemsikia mgombea wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…