t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Haha ,wala hakua mtu muhimu sana kwangu , ni wale mnakutana juu kwa juu tu, siku moja anaamua akulipue kizinga na unaona poa leo ngoja nitoe sadaka kwa mwana.Na mahusiano yetu yakaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app