kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani huku tunaugua ugua ovyo kweli, tunaumwa ugonjwa wa njaa
takataka za hivyo mnaziokotaga wapi?Naonga mkono hoja...kabla ya kumtumia achelewi ata kurespond yuko faster lakini ukisha tuma tu anaanza kujibu kama ana lazimishwa ..utashangaa una ambiwa takutafta badae
Mfano tu uo wenye uhalisia
sijui itakuaje
Wewe huo uvumilivu wa kutulia usiombe hela huna?Kweli kabisa ,
Wajifunze uvumilivu
Yule dada kasema amekuelewaYaani hata kama mtu hata kama hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika.
Hii tabia inakatisha sana tamaa
Kabisa kila siku huwa nagombana na watu yaani akitaka hela atakusumbua kwa simu hata mara 20 umtumie hela,ukishatuma hata kusema asante imefika hakuna,ukimpigia vipi umeipata? Anakwambia nimeipata sasa unamuuliza mbona haujanijulisha anakwambia simu ilikuwa haina hela lakini wakati anataka umtumie simu ilikuwa na hela ya kutuma meseji kama zote,wanaboa sana hao watu.Yaani hata kama mtu hata kama hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika.
Hii tabia inakatisha sana tamaa
Na mahusiano yetu yakaishia hapo.Kuna mtu aliniomba nimtumie pesa ana shida nayo , nimetuma na ikamfikia ajabu hata kunijulisha tu kuwa ameipata hakufanya hivyo, , nikaona isiwe shida nikawapigia simu tigo mpunga ukarudi .nusu saa nyingi boya anaipigia simu , mbona pesa yenyewe iliingia halafu umeirudisha kwako? nikamjibu , nilidhani nimekosea namba ..sikumtumia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia alikuwa nayo mamsap alikuwa ananikera kishenzi. Vocha umtumie ila kusema asante ni mtihani...nikapambana nae akabadilika kidogo ila still ni mzito wa kutoa feedback.Hakika jamani! Haya yanaanza utotoni kabisaa, wazazi na walezi ndo tunajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wanakuwa wanashukuru kwa kile wanachopata bila kujali ukubwa wake!
Kwa mazingira ya kawaida kabisaa, huwezi kutumiwa hela ama vocha, ukapokea na usiseme Asante nimepata!! Yaaniii malezi yanachangia kwa kisasi kikubwa!
Usipojibu ndy anakuja Jf kutoa nyongo kama hivi sasa watu wanachangia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa situation Kama hiyo inabidi usimjibu yeyote..ukijibu tu lazima uchanganye mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasumbua hatari , ukituma hana sms ya kujibu asante utazani uliyetuma unatikisa mti wa mwembeKwa kweli ni tabia mbaya sana na binafsi siipendi...
Wakati anaomba huwa wanasumbua sana na kukumbusha mara kwa mara nitumie
Ukishatuma tu hata akhsante kwa baadhi hawasemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama buku tano ndogo kwanini usiitafute mwenyewe kwa jasho lako beba tofari ponda kokoto utaipata au tembeza hata njegere hukoSasa utume buku tano usubirie ushukuriwe? Wewe angalia meseji ikionesha imefika tulia tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwambie hata weweSasa kama buku tano sio hela uliomba ya nini? Mbona wewe hukuwa nayo?
Ulimnyoosha pakubwaKuna mtu aliniomba nimtumie pesa ana shida nayo , nimetuma na ikamfikia ajabu hata kunijulisha tu kuwa ameipata hakufanya hivyo, , nikaona isiwe shida nikawapigia simu tigo mpunga ukarudi .nusu saa nyingi boya anaipigia simu , mbona pesa yenyewe iliingia halafu umeirudisha kwako? nikamjibu , nilidhani nimekosea namba ..sikumtumia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yangu ilikuwa akikupa kitu usipo shukuru anakunyanganya na hupewi tena,akituma pesa usipo sema asante ana reverse transaction hatumi tena!!mpaka siku hizi kazeeka tukimtumia anasema asante na anapiga simu nimepataTuwafundishe watoto kushukuru, akijua thamani ya neno asante hatasahau hata akija kuwa mkubwa. Matatizo mengine tunatengeneza wenyewe, unampa pipi mfundishe kushukuru, mwombe akupe nawe sema asante.
Lakini pia, tusipende kuwa on the receiving end.