Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

Naunga mkono hoja...kabla ya kumtumia achelewi ata kurespond yuko faster lakini ukisha tuma tu anaanza kujibu kama ana lazimishwa ..utashangaa una ambiwa takutafta badae

Mfano tu uo wenye uhalisia

sijui itakuaje
 
kama papuchi alishakupa..unahangaika kujua pesa imefika au haijafika ili iweje?
 
Naonga mkono hoja...kabla ya kumtumia achelewi ata kurespond yuko faster lakini ukisha tuma tu anaanza kujibu kama ana lazimishwa ..utashangaa una ambiwa takutafta badae

Mfano tu uo wenye uhalisia

sijui itakuaje
takataka za hivyo mnaziokotaga wapi?
 
Mm nikikutumia ukipata unipe shukurani usinipe kimpango wako mm uwa cjali as long ukiipata tuu sinaga shida utajijua mwenyewe.

121.
 
Kuna mtu aliniomba nimtumie pesa ana shida nayo , nimetuma na ikamfikia ajabu hata kunijulisha tu kuwa ameipata hakufanya hivyo, , nikaona isiwe shida nikawapigia simu tigo mpunga ukarudi .nusu saa nyingi boya anaipigia simu , mbona pesa yenyewe iliingia halafu umeirudisha kwako? nikamjibu , nilidhani nimekosea namba ..sikumtumia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata kama mtu hata kama hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika.

Hii tabia inakatisha sana tamaa
Yule dada kasema amekuelewa
 
Yaani hata kama mtu hata kama hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika.

Hii tabia inakatisha sana tamaa
Kabisa kila siku huwa nagombana na watu yaani akitaka hela atakusumbua kwa simu hata mara 20 umtumie hela,ukishatuma hata kusema asante imefika hakuna,ukimpigia vipi umeipata? Anakwambia nimeipata sasa unamuuliza mbona haujanijulisha anakwambia simu ilikuwa haina hela lakini wakati anataka umtumie simu ilikuwa na hela ya kutuma meseji kama zote,wanaboa sana hao watu.
 
Kuna mtu aliniomba nimtumie pesa ana shida nayo , nimetuma na ikamfikia ajabu hata kunijulisha tu kuwa ameipata hakufanya hivyo, , nikaona isiwe shida nikawapigia simu tigo mpunga ukarudi .nusu saa nyingi boya anaipigia simu , mbona pesa yenyewe iliingia halafu umeirudisha kwako? nikamjibu , nilidhani nimekosea namba ..sikumtumia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mahusiano yetu yakaishia hapo.
 
Hakika jamani! Haya yanaanza utotoni kabisaa, wazazi na walezi ndo tunajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wanakuwa wanashukuru kwa kile wanachopata bila kujali ukubwa wake!

Kwa mazingira ya kawaida kabisaa, huwezi kutumiwa hela ama vocha, ukapokea na usiseme Asante nimepata!! Yaaniii malezi yanachangia kwa kisasi kikubwa!
Hii tabia alikuwa nayo mamsap alikuwa ananikera kishenzi. Vocha umtumie ila kusema asante ni mtihani...nikapambana nae akabadilika kidogo ila still ni mzito wa kutoa feedback.

Af nahisi kuna uhusiano wa karibu baina ya asante na samahani.Mtu ambaye ni mzito kusema asante hata kusema samahani pia ni mzito!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa situation Kama hiyo inabidi usimjibu yeyote..ukijibu tu lazima uchanganye mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipojibu ndy anakuja Jf kutoa nyongo kama hivi sasa watu wanachangia.

Dawa yake wote unawatumia sms "baby mambo" atakayejibu umepata, ndy wa kumwambia asante.
 
Kuna mtu aliniomba nimtumie pesa ana shida nayo , nimetuma na ikamfikia ajabu hata kunijulisha tu kuwa ameipata hakufanya hivyo, , nikaona isiwe shida nikawapigia simu tigo mpunga ukarudi .nusu saa nyingi boya anaipigia simu , mbona pesa yenyewe iliingia halafu umeirudisha kwako? nikamjibu , nilidhani nimekosea namba ..sikumtumia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimnyoosha pakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi hivi vitu vipo hata kwa ndugu na wanafamilia.....yani huwa nahisi nimekosea kutuma ndio inabidi niwe unaanza kuuliza kama imefika....huwa inakera sana...hivi hata kutuma tu meseji "asante imefika" ni taabu????
 
Umewahii kuona toilet paper inarudiwa baada ya matumizi yake?kuna ambaye anabembelezwa atumiwe baada ya ww kufanya muhamala,wewe ni sawa na toilet paper tu huna maana baada ya kufanikisha muhamala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwafundishe watoto kushukuru, akijua thamani ya neno asante hatasahau hata akija kuwa mkubwa. Matatizo mengine tunatengeneza wenyewe, unampa pipi mfundishe kushukuru, mwombe akupe nawe sema asante.

Lakini pia, tusipende kuwa on the receiving end.
Baba yangu ilikuwa akikupa kitu usipo shukuru anakunyanganya na hupewi tena,akituma pesa usipo sema asante ana reverse transaction hatumi tena!!mpaka siku hizi kazeeka tukimtumia anasema asante na anapiga simu nimepata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom