Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

Ndivyo ilivyo dear, hivi vitu vinaenda sambamba kabisaa!
 
Kiuhakika zaidi inatakiwa athibitishe yeye.
Sio mpaka umuulize.
Mitandao Ina mambo mengi.
Labda haijafika bado ipo hewani?.
sasa ili kutoana hofu akutumie japo meseji.
Kuwa imefika ni ustaarabu mdogo ila wenye busara
Kwani simu yako haikuambii kuwa uliyemtumia imefika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimkopesha laki 2 tangu mwaka jana mpaka Leo kimyaa. Ila bado nipo nae na nilijua tu mapema kuwa hapa na toa sadaka[emoji16][emoji16][emoji16].
Ila kama unavyosema hanisumbui nimkopeshe.
Ila kumgharamia ni muhimu maana ni jukumu langu
Mkope ili aone aibu kukuomba tena


It is never too late to begin. Start now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijuhi ni malezi au nini, hata dereva bodaboda akinifikisha ninapoenda pamoja na kumlipa nauli huwa najisikia vizuri kumwambia asante! hata papuchi nikimaliza lazima nisema asante....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…