Tabia ya kuombaomba pesa

Tabia ya kuombaomba pesa

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,424
Reaction score
2,333
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.

Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia imekugusa kumsaidia kwasababu kweli anahitaji msaada, hata yeye mwenyewe anaweka Imani na matumaini kwasababu ana uhakika upendo wake Kwa mpenzi wake ndiyo sababu ya kusaidiana katika changamoto mbalimbali.

Sasa Kuna hii staili ya wadada kuomba omba pesa, bila mpangilio, yaani Leo naomba Tsh kadhaa nikanunue cjui hiki, naomba Tsh kadhaa Nina njaa, Mara cjui naomba Tsh kadhaa mb zimeisha Mara eeeee Mara iiiiiiiiiiiii yaani mpaka unasema hii shida gani hii😬

Wala hakuachi upumzike, Angalau nawew uone hata pesa zako, Aisee hii Hali ilininyima sana amani miaka ya nyuma.

Juzi Kuna huyu demu ambaye ananishauri nimuoe, alinitandika kizinga kikanikumbusha kipindi cha nyumba, nilivyokuwa napigwa vinzinga, nikamwambia, mwambie mtu akukopeshe nikipata nitakutumia, Akasema haya, sijamcheki hadi Sasa hivi, Anatuma msg sijibu na nimemblock, yaani Hawa watu bana, halafu kibaya zaidi ameniomba Kwa staili zile zile za shida za kijinga kijinga.

Wanawake badilikeni bana, tusaidiane Kwa shida msingi, hizo nyingine ambazo hazina maana pambaneni kwingine.
 
Mwanamke anae kuomba hela huyo yupo kimaslahi kwako tu, mwanamke akikupenda moyoni mwake hawezi kuomba hela. Kwasababu huwa na haya flani ya kuomba usije muona si wa maana kwako.

Kuna mwanamke alimuomba mpenzi wake hela kumbe ile hela alikuwa anakwenda nunulia vyombo vya ndani. Kuna mwanaume mwengine alikuwa kishatoa posa, huyu alotoa hela(mpenzi) alipigwa block baada ya mwanamke kuolewa.
 
Kama hujaoa, usipende kuwa na mahusiano ya kijinga na mademu. Wewe panga nao tu kulambana, mkimaliza kila mtu achukue 50 zake. Ukiwaendekeza hawa watu hutokuja kuendelea maishani mwako hata iweje. Wewe angalia wasanii wetu wanaohaha mitandaoni kujianika na kutafuta wanaume, wakikosa wanachanganikiwa na kwenda kuroga kwa masheikh. Cha maana wanachofanya baada ya kusaidiwa hakuna zaidi ya kuvaa na kudanganya wafuasi wao wasiojitambua akili pia.
 
Ila sikuhizi hadi wanaume wamekuwa ombaomba sana kitaa mizinga imezidi sana.
Yaani hawana hata aibu mwanaume mzima anipiga mzinga halafu kheri hata angekuwa anaomba kitu cha maana mtu anakuomba umnunulie pombe mara sigara.
Dah jamiii imebadilika sana sikuhizi mara elfu kumi hao wadada wanaoombaomba umaweza na wewe ukamuomba mzigo.ukapewa .
 
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.

Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia imekugusa kumsaidia kwasababu kweli anahitaji msaada, hata yeye mwenyewe anaweka Imani na matumaini kwasababu ana uhakika upendo wake Kwa mpenzi wake ndiyo sababu ya kusaidiana katika changamoto mbalimbali.

Sasa Kuna hii staili ya wadada kuomba omba pesa, bila mpangilio, yaani Leo naomba Tsh kadhaa nikanunue cjui hiki, naomba Tsh kadhaa Nina njaa, Mara cjui naomba Tsh kadhaa mb zimeisha Mara eeeee Mara iiiiiiiiiiiii yaani mpaka unasema hii shida gani hii😬

Wala hakuachi upumzike, Angalau nawew uone hata pesa zako, Aisee hii Hali ilininyima sana amani miaka ya nyuma.

Juzi Kuna huyu demu ambaye ananishauri nimuoe, alinitandika kizinga kikanikumbusha kipindi cha nyumba, nilivyokuwa napigwa vinzinga, nikamwambia, mwambie mtu akukopeshe nikipata nitakutumia, Akasema haya, sijamcheki hadi Sasa hivi, Anatuma msg sijibu na nimemblock, yaani Hawa watu bana, halafu kibaya zaidi ameniomba Kwa staili zile zile za shida za kijinga kijinga.

Wanawake badilikeni bana, tusaidiane Kwa shida msingi, hizo nyingine ambazo hazina maana pambaneni kwingine.
Mbona huwasemi kina doto magari na mwijaku si kama hao wanawake tu
 
Mtu jobless alafu eti anaomba hela ya kusuka 50k unabaki unashangaa.
Wee kama huna hela sii usuke kawaida tuu
 
😅😅😅😅Mbona nyie mnaomba
 
Mwanamke anae kuomba hela huyo yupo kimaslahi kwako tu, mwanamke akikupenda moyoni mwake hawezi kuomba hela. Kwasababu huwa na haya flani ya kuomba usije muona si wa maana kwako.

Kuna mwanamke alimuomba mpenzi wake hela kumbe ile hela alikuwa anakwenda nunulia vyombo vya ndani. Kuna mwanaume mwengine alikuwa kishatoa posa, huyu alotoa hela(mpenzi) alipigwa block baada ya mwanamke kuolewa.
Aisee
 
Ila sikuhizi hadi wanaume wamekuwa ombaomba sana kitaa mizinga imezidi sana.
Yaani hawana hata aibu mwanaume mzima anipiga mzinga halafu kheri hata angekuwa anaomba kitu cha maana mtu anakuomba umnunulie pombe mara sigara.
Dah jamiii imebadilika sana sikuhizi mara elfu kumi hao wadada wanaoombaomba umaweza na wewe ukamuomba mzigo.ukapewa .
Sasa siyo kwamba tunaomba mzigo Sasa hivi tunanunua, hata Kama ni demu wako lakini staili mnayoishi unakuta ni staili ya kuuziana.
 
Afadhali mdada anakusaidia kuondoa upwiru.. mimi kuna janaume lenye mshahara na familia linasumbua kinyama kuomba hela, sijui nifanyeje?
Mtu mwenye tabia ya kuomba omba pesa bila sababu ya msingi ni livivu, usimpe mnyime labda Kama anakukuna vizuri, inaweza kuwa sababu hata tukushauri vp huwezi kumnyima.

Lah Kama sivyo, mnyime tu, ni haki yako kutoa ama kutokutoa
 
Back
Top Bottom