Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.
Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia imekugusa kumsaidia kwasababu kweli anahitaji msaada, hata yeye mwenyewe anaweka Imani na matumaini kwasababu ana uhakika upendo wake Kwa mpenzi wake ndiyo sababu ya kusaidiana katika changamoto mbalimbali.
Sasa Kuna hii staili ya wadada kuomba omba pesa, bila mpangilio, yaani Leo naomba Tsh kadhaa nikanunue cjui hiki, naomba Tsh kadhaa Nina njaa, Mara cjui naomba Tsh kadhaa mb zimeisha Mara eeeee Mara iiiiiiiiiiiii yaani mpaka unasema hii shida gani hii😬
Wala hakuachi upumzike, Angalau nawew uone hata pesa zako, Aisee hii Hali ilininyima sana amani miaka ya nyuma.
Juzi Kuna huyu demu ambaye ananishauri nimuoe, alinitandika kizinga kikanikumbusha kipindi cha nyumba, nilivyokuwa napigwa vinzinga, nikamwambia, mwambie mtu akukopeshe nikipata nitakutumia, Akasema haya, sijamcheki hadi Sasa hivi, Anatuma msg sijibu na nimemblock, yaani Hawa watu bana, halafu kibaya zaidi ameniomba Kwa staili zile zile za shida za kijinga kijinga.
Wanawake badilikeni bana, tusaidiane Kwa shida msingi, hizo nyingine ambazo hazina maana pambaneni kwingine.