Tabia ya kuombaomba pesa

Tabia ya kuombaomba pesa

Mtu jobless alafu eti anaomba hela ya kusuka 50k unabaki unashangaa.
Wee kama huna hela sii usuke kawaida tuu
Dah we Acha tu, yaani Kama hivi vizinga vya 50k wanawake wanaviona vya kawaida kingese mamamamaeee😬
 
Dah we Acha tu, yaani Kama hivi vizinga vya 50k wanawake wanaviona vya kawaida kingese mamamamaeee😬
Sanaaa ila wao ukiwaomba bupa wanasema yaani unataka unitombeee kisa 50k. Ebo!
Kaitafute basi hiyo 50k kama rahisi
 
Sanaaa ila wao ukiwaomba bupa wanasema yaani unataka unitombeee kisa 50k. Ebo!
Kaitafute basi hiyo 50k kama rahisi
Sasa hivi wamebaki wadangaji tu, hamna wanawake.
 
Unamjibu tu sina au aifate! Mimi kanuni yangu huwa situmi hela hata iwe buku, wengi ni matapeli na nimejifunza hili in a hard way!
 
Kuna ile demu anakuomba hela halafu anakutengenezea mazingira ya lawama kwa kauli zake kwamba ni umpe alichokiomba ili uprove una mjali au usimpe uprove kuwa hana thamani kwako. Hii mbaya sana.

Utaskia " naomba unisaidie 50K please,nina shida nayo sana" unamwambia mmmmhmn hapa sina anakukazia mmmmmmmmmmmmmmmmmmmhmn yaani nimejaribu kila kona nimekosa msaada naomba unisaidie please. Hapo anakutengenezea mazingira ujicommit. Haya utamwambia sawa ngoja nicheki kama nitapata,anakuitia poa vizuri.

Sasa tafuta ukose,utasikia "Sasa kama ulikuwa hauna uhakika si ungenambia nijue nafanyaje"

Aiseeee hii tabia huwa inanikwaza sana mzee. Ni tabia mbaya sana kumfanya mtu mwingine ajiskie vibaya na kukosa amani kwasababu ya uzembe wako na makosa yako.
 
Mwanamke anae kuomba hela huyo yupo kimaslahi kwako tu, mwanamke akikupenda moyoni mwake hawezi kuomba hela. Kwasababu huwa na haya flani ya kuomba usije muona si wa maana kwako.

Kuna mwanamke alimuomba mpenzi wake hela kumbe ile hela alikuwa anakwenda nunulia vyombo vya ndani. Kuna mwanaume mwengine alikuwa kishatoa posa, huyu alotoa hela(mpenzi) alipigwa block baada ya mwanamke kuolewa.
Well said sema sisi wanaume tukiwapata wa hivi
TUNAJISAHAU
 
anajua kwanini umemblock? kwa kumsaidia ungemwambia hupendi tabia yake ya vizinga vya kijingajinga..
 
Kwaiyo mwanamke akiomba hela [emoji23][emoji23] anajiuza sio?? Ahaa mwanamke ni pambo anatakiwa apendeze ila kuomba omba isizid ikizid huyo anakutumia
 
Back
Top Bottom