RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu unampangia mtu cha kufanya na nyumba yake?Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!