Sendliver mzee
Member
- Jul 31, 2012
- 9
- 6
Umefundishwa jinsi ya kuwa na personal hygiene. Inaonesha wewe ni mchafu, chumba hudeki, kitanda hutandiki, miswaki unaacha bafuni😂Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi nime mind na ninafanya juu chini kuondoka hapa fasta.
Huu ni ushamba uliopitiliza.
Kwa nini wageni wasizungushwe kabla hatujahamia au waishie sebuleni!